.ukiwa na hasira anaweza kukufanya ukatabasamu
.ukiwa tajiri anaweza kukufanya ukawa masikini and viceversa.
.anaweza kukufanya ukawachukia marafiki, wazazi na ndugu zako wote!
.anaweza kukuua pia kwa tamaa zake za maisha:
.tunawapenda Hawapendeki, jamani wanawake Hawa!
. Eti ni viumbe dhaifu, kwa lipi?
Mwenzenu nashukuru sikuzaliwa mwanamke!
Nitarudi baadae kuendelea na list!!!!!
Mwanamke huyo huyo ni binadamu kama wewe. Je wewe na uume wako ni kamili? Nadhani tatizo si kuwa mwanamke au mwanaume bali uwezo wa mtu kuyachambua mambo. Wote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu. Wapo shetani wanaume na wanawake kadhalika. Kama yamekukuta usikimbilie kulaumu wote. Waweza kuwa tatizo kuliko hata huyo mwanamke uliyempa ushetani wote. Ni majambazi, wabakaji, mafisadi, wasanii, wauaji na mengine mengi ni wanaume? Basi kama kuna mwanamke shetani duniani si mwingine bali mama yako aliyekuzaa ufanye hitimisho hafifu kama hili.
mi chichemi!

Mwanamke tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu ameonekana ni kiumbe dhaifu, lakini ni viumbe wenye huruma sana. Dunia sasa hivi imebadilika hata wanawake wanaumizwa na wanaume pia wapo wanaofilisiwa na wanaume wao.
Nimuangaliapo mwanamke namuona ni mtu wakumheshimu sana maana huwa najiuliza swali hili hivi kipindi bado niko tumboni mwa mama yangu, halafu alivyopotelea katikati ya msitu akiwa peke yake angekata tamaa je mimi leo ningekuwepo?
Acha niwaheshimu hata kama ni wadhaifu.
Hizo sifa ni za mkeo au mamako maana hao nao ni wanawake
Kaaazi kweli kweli!!
Haya muonee huruma mama yako kuzaliwa mwanamke!!!