miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
kila la kheri dada
asante kaka
kila la kheri dada
We kimbau mbau haitaji dayati uta chelewa bure m-pm hivyohivyo.
hahaaa we kazana bana...mie hii tender imenikosa kabisaaaaa
nakusubiria kwa bashasha bibie..........
loh acha nikazane hapa leo miguu inauma na tumbo mazoezi niliyofanya jana usiku
jana nimekimbia nimefanya mazoezi ya tumbo leo asubuhi naumwa misuli uwii alafu usinikubali nitakupiga
kazana mwaya mwili ukishazoea maumovi huyasikii tena
mie mwenyewe nitakusaidia kumpiga wallah
watoto wa njiwa ndio madude gani!!Nenda mjengoni kamchukue watoto wa njiwa
MIE BONGE NYANYA :teeth:..........ILA ENDELEA KUTAFUTA UTAMPATA TU
NASIKITIKA KUIKOSA HII NAFASI
Eeee baba mie nna sifa unazotaka ila ushanpiga ban
Weka na sifa zako wajue usije kuwa we ndo tukunyema unatafuta pa kupunguzia kilo
watoto wa njiwa ndio madude gani!!
loh acha nikazane hapa leo miguu inauma na tumbo mazoezi niliyofanya jana usiku
kazana mwaya mwili ukishazoea maumovi huyasikii tena
mie mwenyewe nitakusaidia kumpiga wallah
wanakuwa na kiburi sanaaaaaaaaaaaa!
Heaven on Earth kumbe wewe kimodel na mazoezi umeanza zamani sema unanibania tu..........
usinifanyie hivyo mtoto wa mwanamke mwenzio nikaendelea kuteseka hapa duniani..........
Jamani mnipige tena ?
badala ya kuwa mafuraha mtindo mmoja............