hahaa mie si nishasema ni bonge nyanya kwenye umodel nilishatoka siku nyingi
kazana na miss chagga naona keshajitoa kwa kila namna kuhakikisha hili dili halimpati
si ukikataa kumpa huu mchongo
pole sana mamaa , jitahidi hivyo hivyo..........bado nipo
Ha ha ha haaaaaaa!!!!!
hahahaaaa!!swahiba kimekusibu kipi?
mpaka hutamani yale mambo yetu yaleee?
mmmmhhhhh!!
Ha ha ha haaaaaaa!!!!!
besti nitafutie kimodo mmoja basi..........
bestiiiii! all the best.
hahahahaah!!! best mie namkaribia hadija kopa, ila nipo kwenye special diet nipunguze mwili. lolbesti hata mambo hayajawa the best huku............
hv besti wewe ni tukunyema?
hahahahaah!!! best mie namkaribia hadija kopa, ila nipo kwenye special diet nipunguze mwili. lol
Nenda vodacom utawapata uwatakao
aya rafiki kuanzia leo sili
Mie tukunyema napita tu,,,,, ulipata lakini???
.
Nafasi ya upendeleo kwa ajili yako Tukunyema ipo hapa
.
Hizo nafasi za valentine sizitaki mie.
.
Lol unaniangusha jmn
am kinda sad
.