Mwanamke kimbaumbau

Mwanamke kimbaumbau

hapo sasa itakuwa ni tatizo kwakweli..........

ila hawa wenye ndembendembe ni presha kila mtu anatolea macho na udenda..........

Dah inabidi utafute kigezo kingine cha kuwa na mtu ambacho akiwezi kubadilika....yani angalia internal factor..
 
Dah inabidi utafute kigezo kingine cha kuwa na mtu ambacho akiwezi kubadilika....yani angalia internal factor..

u must realize and appreciate the external factors before u dig for the internal ones..........

hlf hizo za internal siku hizi imekuwa ni kudanganyana kwingi..........
 
Fanya mambo kwa faida yako co kuwaogopa watu,ukimpta mtu anakupenda na we unampenda never let him go forever!!!
 
u must realize and appreciate the external factors before u dig for the internal ones..........

hlf hizo za internal siku hizi imekuwa ni kudanganyana kwingi..........

Sasa punguza wivu..swala la wivu inabidi ulifanyie kazi ili Mapenzi yaende poa..

Kila kitu kinadanganya...sasa ni wew tu jinsi ya kupambana nazo
 
Back
Top Bottom