Mwanamke kimbaumbau

Mwanamke kimbaumbau

Sasa punguza wivu..swala la wivu inabidi ulifanyie kazi ili Mapenzi yaende poa..

Kila kitu kinadanganya...sasa ni wew tu jinsi ya kupambana nazo

thanks , ila akijitokeza kimbaumbau yoyote humu ninaye walah!
 
Kila mtu ana testa yake..hyo mifupa yey ndo inampa raha..

kazi ipo,ila bora kidari kina mifupa inayotafunika na maduta kidogo sasa hiyo mifupa ya nyonga sijui itakuwaje
 
Back
Top Bottom