Tuwekee hata ka-habari picha ya huko nyuma
habari!
Nahitaji mpenzi mwenye sifa kuu kuwa awe kimbaumbau/portable , sexy , presentable na asiwe mtu wa kujivunga vunga hovyo.mambo ya sitaki nataka hayana nafasi hapa kwangu..........
matukunyema na size ya kati yameshanichosha , ukitembea naye tension kwenu , akitembea mwenyewe miluzi , akivaa nguo anatafuta namna ya kupunguza ndembendembe na mimi wivu hauishi........... nataka amani ya mpenzi wangu kutokuangaliwa angaliwa wala kutolewa mate na mijicho.
watu kama Madame B , amu , Passion Lady , Heaven on Earth and company, you dont stand a chance hapa.
Nipo serious kuliko kimeta , aliyeinteresting aje PM.
kweli WIVU una nguvu had unabadili aina ya umpendae .........tatizo wivu mkuu......
Kwa ufupi sana, tupe historia yako kwenye mambo ya malavidavi hahahah!!
mi nikibonge ila ni mtamu wewe ukiingia kutoka uwezi, sasa hivi natka nipungue niwe kimbau mbau ukinilalia unagongana na mifupa na kama mwanaume yupo hivyo hivyo tunakuwa kama tunasaga unga......
yani wewe acha tu
daah umetisha unataka mamiss?hao ndo gharama hao
aisee unataka uwe unagonga kwenye mafupa?
Hawa vimbaumbau leo tu kesho akiridhika anakuwa bonge sasa sijui utamfanyaje....
sasa si utakuwa umepata wa kuwa nae?
mambo ya mashine mnato siyo , gusa unase..........
haina shida nafanyia kazi lakini sitaki kuwa kanma huyo binti hapo juu hapanampaka sasa hivi PM bado ni bila bila , inawezekana wote inabidi m-workout ndiyo mjitokeze..........
kazana tu besti........
Yupo humu humu JF, tena 'jina' lake linaanza na herufi "H" :biggrin1::biggrin1:haswaa mkuu , ,,,,,,,,,,
umenionea wapi huyo???????
mi nikibonge ila ni mtamu wewe ukiingia kutoka uwezi, sasa hivi natka nipungue niwe kimbau mbau ukinilalia unagongana na mifupa na kama mwanaume yupo hivyo hivyo tunakuwa kama tunasaga unga......
yani wewe acha tu
ndo hivyoila hapa sasa hibi amna majaribio ni kukufanya kweli