Muambie mkeo unahama hapo ukatafute nyumba ukae na mwanao. Yeye mtakuwa mnatembeleana kama mtu na bf wake.
gfsonwin, namaanisha hapo sio utani. Hivi wewe kama mtu kakukuta na mwanao na mnaoana anajua huyo ni mwanao. Then anakuambia simtaki huyu mtoto ungefanyaje? I would have done exactly that
King'asti sitak kuamin na wewe unawea kujudge situation kama hii kwa habari za one side............mtoa mada atuambie ukweli kwann huyu mkewe amkatae huyu mtoto...............
hajatuambia mazingira ya kumpatia habari huyo bibie juu ya huyo mtoto yalikuwaje?
je ndg zake hasa madada bada ya kujua kaka yao anaoa mke mwingine walisemaje juu ya huyu mtoto? umesahau kwamba uwezekano wa huyu mkewe kuwa vindicated na kauli za wakwe kwamba atamtesa huyo mtoto ni mkubwa?
nakuambia true story from my blood brother yeye alimkana mwane wa kumzaa kanisan kwan hakuwa amemwambia binti (mke mtarajiwa juu ya huyo wa mashtuzi), sasa ikaja eti akenda kunywa pombe siku moja zikamkolea kisawasawa akarudi home akabreak the cord eti nina mtoto nilimzaab4 na sikutaka kukiri kanisan kwan ingekuwa ni hbr ya kukushtua as nilikuwa sijakwambia..............bibie akamwambia poa just like that
bro akatoka akaenda kwa sista angu mkubwa akammwambia sijui anamtoto so yy sista awe anatake all efforts za huyo kid ili aje home sista naye akaanza kufanya mambo kwa akili za kuendeshwa, na ile dhana mama wa kambo sio mama.
bro akanifuata mimi na hubby akaomba mtoto aje akae kwangu hubby akasema hapana akanipa reason ivi kama ni mwane na mkewe yupo wewe kukaa na huyo mtoto huon kama unajenga hatered kati ya mm na mama?? ivi ipo siku utaweza kutoka wewe na wanao mnakwenda kwa bro?? nilipojitafakari nikaona hapana nikamjibu tu hapana uyo mtoto mpeleke kwa mkeo. Kumbe nayy kashapewadesa baya na sista mkubwa kwamba mkewe atamtesa ile mentality ikaanza kumtafuna huku na huko mkewe siku moja tumekwenda kwake alikuwa mzazi. sister akaja na yule mtoto wa bro, wifi akaualiza kiutan manake ukweli hakuwa anajua uyo mtoto ni nai akasema na huyu ni nani??
sister akasema kwan huyu humjui?? mbona huyu ni mwanao kaka yake na mwanao wewe G? wifi yuko ooh!! just like that
mwaka jana bro akasema sas anamleta B hapa home akaena G mkewe akamwambia tafuta pa kumpeleka niakmsapoti wifi yangu kwani bro toka mwanzo kesha kosea approach.............
- kwanza kwann asingemweleza mkewe ka utaratibu sahihi hata kama kuna kosa tayari??
- pili kwann binti wa watiu achafuliwe na kauli za mama wa kambo mbaya b4 hata kumuona mtoto ivi akija kuish nae si ndoa ataambiwa anamlisha mavi kbs?
- tatu ivi kwann mwanaume usubiri adi watu wa kusaidie kukutatulia matatizo ya home kwako?? uwe basi mwanaume ureason kiume
- nne ivi je unafkir kwa kauli kwamba atamtesa mtoto huyo mtoto atakuja amejihami kiasi gani??
ngoja nikapikie wanangu narudi baadae kidogo but ukweli mie na side na huyu mama kwani nimeliona jambo kama hili kwa kaka yangu ama pengine ni wewe
Molembe lol!!