Mwanamke kama huyu namuwezaje?

Mwanamke kama huyu namuwezaje?

Yani hadi hapo haujui anataka nini?? Basi kuwa mwanaume ni kazi ngumu sana maaamaeeehh
 
Mwenzenu kuna demu nimetokea kumpenda saana, lakini demu huyo bado amekuwa mtu wa kunizungusha akili yangu kwa jinsi ninavyomuona demu sio mgumu kivile ila kuna kitu nitakuwa bado sijaelewa kutoka kwake ndio maana mpaka leo na pambana kumpata.

Huyu demu nikiomba mda wa kuongeya naye hakatahi kuongeya na mimi. Na kila nikiongeya naye jibu lake ni kuwa ni mpe mda afikirie.

Ni Kimpa mda afikirie siku nyingine ni kiongeya naye ili kuomba jibu anaomba mda mwingine tena wa kufikiria
Yaani hiyo imekuwa too much kwake.

Hivi ni njia hipi ninaweza kutumia kumpata demu kama huyu wenzangu na mimi.

Maana kwa akili yangu nahisi demu tayari ameshakubali ila kuna kitu anahitaji kuona kutoka kwangu au kuna kitu nahitaji kuelewa kutoka kwake ili kuweka mambo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
ameathirika, anaishi na virus vya VVU anakuonea huruma. anataka company/urafiki wa kawaida tu
 
Na ili kuondokana na stress za kutafta nyapu moja kwa muda mref ww kua na madem zako wengi tu akikunyima huyu unaruka kwa huyu mambo yanaenda wanawake wapo wengi na wanavitu wanapenda toka kwetu kama huna basi hata pesa uwe nayo ili uweze kumtafuna na kusepa kuliko kusumbuka kila siku.


Imagine upo kwenye deport ya azam alafu unaulizia kuna mo energy
Nakazia hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala yakuongea nae we "unaongeya nae"Apo ndo tatizo linapoanzia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom