Mwanamke kama huyu namuwezaje?

Mwanamke kama huyu namuwezaje?

wamtaka kwa ajili tu ya matumizi ya kupita ama wamhitaji kuwa mama watoto wako na mke wako mpendwa.

mara nyingi sana huchukua mda kukuafiki kwa sababu hana uhakika na security yake awapo kwako

Tulia zako we tafuta hela usimtafte tenaa...... siku vikimwamkaa atakwambia ya moyoni
 
Maswala kama haya ndio yanafaa kushirikisha mizimu ya kwenu ili iimpendeshe na ifupishe muda wa jibu na jibu liwe zuri!.. mkuu usilaze damu ichangamshe mizimu ya kwenu.
Jamaa kumbe upo😃😃
 
Mwenzenu kuna demu nimetokea kumpenda saana
Lakini demu huyo bado amekuwa mtu wa kunizungusha akili yangu
Lakini kwa njisi ninavyo muona demu sio mgumu kivile ila kuna kitu nitakuwa bado sijaelewa kutoka kwake ndio maana mpaka leo na pambana kumpata

Huyu demu nikiomba mda wa kuongeya naye hakatahi kuongeya na mimi
Na kila nikiongeya naye jibu lake ni kuwa ni mpe mda afikirie
Ni Kimpa mda afikirie siku nyingine ni kiongeya naye ili kuomba jibu anaomba mda mwingine tena wa kufikiria
Yaani hiyo imekuwa too much kwake

Hivi ni njia hipi ninaweza kutumia kumpata demu kama huyu wenzangu na mimi

Maana kwa akili yangu nahisi demu tayari ameshakubali ila kuna kitu anahitaji kuona kutoka kwangu au kuna kitu nahitaji kuelewa kutoka kwake ili kuweka mambo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Amekuona kiazi ‘kuongeya’ ni nini? Umelitumia zaidi ya mara moja!
 
Demu kama uyo jitahidi mazingira yawe faragha kidogo kusiwe na complication ya watu by then ukiwa unaongea nae make sure distance yako na yake ni ile ya anything can happen then katika kuongea kwenu jitahidi uwezavyo sometime umshike mikono yake halafu uwe unaipapasa fulani ila tu usizidishe mzee ni amaizing sana hawez kuruka kikubwa zaidi ni Confindence yako lazima awe fascinated
 
Huo muda wa kukutana nae kila siku afu unapigwa kalenda utumie kutafuta pesa acha bangi
 
Mwenzenu kuna demu nimetokea kumpenda saana
Lakini demu huyo bado amekuwa mtu wa kunizungusha akili yangu
Lakini kwa njisi ninavyo muona demu sio mgumu kivile ila kuna kitu nitakuwa bado sijaelewa kutoka kwake ndio maana mpaka leo na pambana kumpata

Huyu demu nikiomba mda wa kuongeya naye hakatahi kuongeya na mimi
Na kila nikiongeya naye jibu lake ni kuwa ni mpe mda afikirie
Ni Kimpa mda afikirie siku nyingine ni kiongeya naye ili kuomba jibu anaomba mda mwingine tena wa kufikiria
Yaani hiyo imekuwa too much kwake

Hivi ni njia hipi ninaweza kutumia kumpata demu kama huyu wenzangu na mimi

Maana kwa akili yangu nahisi demu tayari ameshakubali ila kuna kitu anahitaji kuona kutoka kwangu au kuna kitu nahitaji kuelewa kutoka kwake ili kuweka mambo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana acha ujinga. Sashivi watu wanatafuta pesa, wewe unaangaika kujibebesha gunia la misumali
 
Unakuta hata bank huna hata zaid ya elf ishirin af unaumiza kichwa kuhusu mapenz tafuta ela kaka uweze kusaidia familia yako na watu wengne wenye uhitaji
 
Hauna hela tatizo!
Unabembeza ka tupo Karne ya Saba.
Akukubali Nani?
 
Labda ungekua unaandika lugha iliyonyooka angekua ashakubali....sasa 'kuongeya' ni lugha ya wapi au ipo kamusi ipi?
 
Mwenzenu kuna demu nimetokea kumpenda saana

Lakini demu huyo bado amekuwa mtu wa kunizungusha akili yangu kwa jinsi ninavyomuona demu sio mgumu kivile ila kuna kitu nitakuwa bado sijaelewa kutoka kwake ndio maana mpaka leo na pambana kumpata

Huyu demu nikiomba mda wa kuongeya naye hakatahi kuongeya na mimi.

Na kila nikiongeya naye jibu lake ni kuwa ni mpe mda afikirie.

Ni Kimpa mda afikirie siku nyingine ni kiongeya naye ili kuomba jibu anaomba mda mwingine tena wa kufikiria
Yaani hiyo imekuwa too much kwake

Hivi ni njia hipi ninaweza kutumia kumpata demu kama huyu wenzangu na mimi

Maana kwa akili yangu nahisi demu tayari ameshakubali ila kuna kitu anahitaji kuona kutoka kwangu au kuna kitu nahitaji kuelewa kutoka kwake ili kuweka mambo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiulize ungekuwa wewe ni Daimond au Harmo, angekuambia ivo? achana naye hajakupenda.
 
Mwenzenu kuna demu nimetokea kumpenda saana

Lakini demu huyo bado amekuwa mtu wa kunizungusha akili yangu kwa jinsi ninavyomuona demu sio mgumu kivile ila kuna kitu nitakuwa bado sijaelewa kutoka kwake ndio maana mpaka leo na pambana kumpata

Huyu demu nikiomba mda wa kuongeya naye hakatahi kuongeya na mimi.

Na kila nikiongeya naye jibu lake ni kuwa ni mpe mda afikirie.

Ni Kimpa mda afikirie siku nyingine ni kiongeya naye ili kuomba jibu anaomba mda mwingine tena wa kufikiria
Yaani hiyo imekuwa too much kwake

Hivi ni njia hipi ninaweza kutumia kumpata demu kama huyu wenzangu na mimi

Maana kwa akili yangu nahisi demu tayari ameshakubali ila kuna kitu anahitaji kuona kutoka kwangu au kuna kitu nahitaji kuelewa kutoka kwake ili kuweka mambo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuongeya ❌
Kuongea ✅

Hakatahi ❌
Hakatai ✅

Ni kimpa ❌
Nikimpa✅

Hilo ni suala dogo sana mkuu njoo PM na pesa nakuhakikishia ndani ya wiki keshakuwa wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom