wanaume wa mikoani apo ndo wanashindwa kung'amua kujua hii hapana au ndio.... sie wanaume wa dar ndo tunapowashinda apo ndo mana wenzetu wa mikoani akipigwa mzinga anatoa tu sie wa dar nikiona mzinga najua uyu ananifukuza kijanja na mie kwakua sitoi hela kiboya nasepa zangu natafuta mteremko mwingine naanza mishe upyaa kama nimezaliwa janaUkiambiwa hapana ni hapana!!
Ila kuna hapana ambazo ni ndio, jiongeze!!
Hii ya kupiga mzinga ilinishinda aisee!!
Hongera kwa kuwa wa Dar mkuuwanaume wa mikoani apo ndo wanashindwa kung'amua kujua hii hapana au ndio.... sie wanaume wa dar ndo tunapowashinda apo ndo mana wenzetu wa mikoani akipigwa mzinga anatoa tu sie wa dar nikiona mzinga najua uyu ananifukuza kijanja na mie kwakua sitoi hela kiboya nasepa zangu natafuta mteremko mwingine naanza mishe upyaa kama nimezaliwa jana
wanawake siku izi bwana kama hakutaki anakupiga mzinga mmoja tu na namba yake utaifuta mwenyewe
ni technique nzuri kwao ila bora aseme tu hanitaki kuliko mzinga
Kijana hujakutana na watoto wa mwenge au makumbusho wew,watoto wazur had unasema hiv hii ni kawaida au macho yangu..unatoa tuu...we si uko mkoan mjomba,huwez iona raha ya kizinga.hahah
NI service charge Chief. Mpatie tu. and ni namna ya ku -screen na kujua kama yaliomo yamo.wanawake siku izi bwana kama hakutaki anakupiga mzinga mmoja tu na namba yake utaifuta mwenyewe
ni technique nzuri kwao ila bora aseme tu hanitaki kuliko mzinga
mi single mom kweli halafu sijanyooka hata kidogo. namaanisha kuzaa hakukua jutio kwangu maana ningetaka kutoa hata kama ingekua million moja ningetoaDawa ya wanawake wanaopiga mizinga Ni kuwatia mimba then unawaacha,nimeshatia mimba wanne wakafie mbele,natamani uingie kwenye 18 zangu nikupe somo siku moja, Kwanza nasikia tayari wewe Ni single mother,nadhani jamaa amekunyosha kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
it's all good mkuu...