Wapambane na hali zao mkuu unaolewa na mtu humpendi ndio nini sasaIla ukipata muda uliza wenzako wale walio waona kinyaa mwanzoni badae wakaja olewa na hao hao. Aibu yao waliificha wapi.?
Sasa hapo nikikuomba hela ukinipa ntakuachaje unadhani. Usitoe hela ili umuimpress mwanamke. Hata akikupiga kizinga wakati unamtongoza piga chini maana ukimpa atakua na wewe kwa sababu ya pesa zako baasiNdio usiseme km mtu humtaki utamuomba hela halaf akikupa unadhani ndio utaacha?
Hivi umeelewa kweli point yangu achana na mpenzi lijitu ambalo linakusumbua hulitaki kila unavyomwambia sikutaki haelewi
Utagundua wapi ni full kjviziana kama paka na panyaaaNikigundua hila hizi mbovu, nalipia mzinga wako, nakuvisha mpaka Pete ya uchumba, nakula punany halafu nakumwaga.
Hahahh nataman nipate wa hivyooooAkitaka laki msusie laki 3 kisha futa no yake
Hahahaa. Hapo mwenyewe anakublock lol.Ni kweli kabisa mkuu utakuta mwanaume mwingine kila unavyomkataa hakuelewi unampa tu bomu la maana ahangaike nalo
Hahahaa. Umecheka hilo bomu Mkuu?Nimecheka sana kwa kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wanawake siku izi bwana kama hakutaki anakupiga mzinga mmoja tu na namba yake utaifuta mwenyewe
ni technique nzuri kwao ila bora aseme tu hanitaki kuliko mzinga
Unakimbia mabomu ya nyukliamimi mpaka saiv nishafuta namba mbili tayari
HahahahaAkitaka laki msusie laki 3 kisha futa no yake
Ukweli wakati ana njaa.
Utaitwa mbahiliHata kama mna njaa, hivi hamuonagi aibu/hamuhisi kuwa mnajidhalilisha kwa kumuomba mwanaume hela espcly yule ambae hamumfaham kabisa?? aisee wanawake mna roho tofauti sana, ila sio mbaya ndio nature yenu kumtegemea mwanaume kifedha Mzigua90
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]Ni kweli kabisa mkuu utakuta mwanaume mwingine kila unavyomkataa hakuelewi unampa tu bomu la maana ahangaike nalo
Halaf najiandaa hapa kuja kukupiga kizinga changu hivi swahiba wangu yuko api mbona simuoni jaman RRONDO[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]
Kijana hujakutana na watoto wa mwenge au makumbusho wew,watoto wazur had unasema hiv hii ni kawaida au macho yangu..unatoa tuu...we si uko mkoan mjomba,huwez iona raha ya kizinga.hahahMizinga wanapigwa wanaume wasiojitambua. Jiulize kidogo, mwanamke akupige wewe mzinga, hujamla na hauna dili naye zaidi ya gegedo kwa siku moja tu...uje umpe hata elfu 1 akanywe gongo for what reason? Wanaume wa Dar kuweni na msimamo na wanawake wenu watawaheshimu kwani mwanamke ni kama mtoto, akishajuwa wewe ni zoba basi tambua atakuchezea akili mpaka utajuta.