Mwanamke kama hakutaki anakupiga mzinga

Hivi kupiga mzinga kukoje? Maana mi mtu tusie na uhusiano hata kumuelezea shida zangu za kifedha siwezi.
 
Hivi kupiga mzinga kukoje? Maana mi mtu tusie na uhusiano hata kumuelezea shida zangu za kifedha siwezi.

Umeuliza swali la msingi sana, nafikiri itofautishwe kuomba na kuhonga, kuna wanaume wenzetu ukiona simu yake tu unaweza kujua shida ni nini hata kabla hajaongea.. Hiyo nayo inaitwa mizinga
 
Hilo ni nje ya mada
Mada inahusu pesa na matumizi ya mwanaume, unawezaje kumpa kahaba mmoja (tena huenda ana HIV) laki 3 bila hata yeye kuwa ametoa hiyo papuchi?

Dont take it seriously anyway..
 
wanawake siku izi bwana kama hakutaki anakupiga mzinga mmoja tu na namba yake utaifuta mwenyewe

ni technique nzuri kwao ila bora aseme tu hanitaki kuliko mzinga
ndo kazi kubwa waliyo nayo haswa ukimwambia nakupenda sana basi subiri baada ya masaa au siku inayofuata anakwambia nina shida naomba unisaidie anajua unampenda sana hutokataa kumbe hajui unamteka akili ili ujue akili yake ina mipaka ipi, ukimwambia nishugulikie isyo shida yako mwenyewe anakataa anataka umpe kesh. dah unajitoa taratibu
 
Mada inahusu pesa na matumizi ya mwanaume, unawezaje kumpa kahaba mmoja (tena huenda ana HIV) laki 3 bila hata yeye kuwa ametoa hiyo papuchi?

Dont take it seriously anyway..
Okay thanks
 
Umeuliza swali la msingi sana, nafikiri itofautishwe kuomba na kuhonga, kuna wanaume wenzetu ukiona simu yake tu unaweza kujua shida ni nini hata kabla hajaongea.. Hiyo nayo inaitwa mizinga
Naona wakipigwa na wanawake ndo inauma sana wakati na wao wanakua wanaangalia kula papuchi.
 
Asanteee
 
Ni kweli kabisa mkuu utakuta mwanaume mwingine kila unavyomkataa hakuelewi unampa tu bomu la maana ahangaike nalo
Ila ukipata muda uliza wenzako wale walio waona kinyaa mwanzoni badae wakaja olewa na hao hao. Aibu yao waliificha wapi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…