Mwanamke kakimbia na akili yangu

Utaache mkeo na watoto? Kulikoni?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono ushauri wa kupima kwani Wewe ulikuwa na mdigo Mkeo na Bwana wa range hali inaweza ikawa kinyume na trajio la kila mmoja Nenda VCT Mkapime kabla ya majadriano yoyote

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni dharau huyo mkeo amefikia pasipofikika na binadamu mwenye timamu hata kama ulifanya mangapi, na isitoshe hujawahi kumletea mwanamke humo ndani kwako hata siku moja. Hata hivyo nahisi huu Uzi umetunga kichwani hakuna reality. Maana kufikia kuuleta humu umechuja vya kutosha na kufikia hatua hii. Kwenye reality sitaki kuamini kama mwanaume utatendewa uchafu kama huo bado unaomba ushauri jinsi gani ufanye labda kama unaigiza unataka kupata hisia za wanaume wana react vipi


Sent from my PTM-Z-mini using JamiiForums mobile app
 


Nataka mnipe ruksa ya kuuwa
 
Pole baba Yasi Ushauri muombe mama yasi msamaha muendelee na life mpeane mauzoefu mliyoyapata katka michepuko
 
We umeoa kabla ujakua akili,ata tukikwambia cha kufanya bado utamkosea tu mama Yasi,..endelea tu na nayo Maisha uliochagua,..
 
Rudi kwa Mungu wako ustadh au Kawaone wanasaikologia una tatizo kubwa sina ushauri,duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…