Wengine hawapendi waambiwe wakikosea na ukifanya hvyo umempa sababu ya kukwambia kuwa unamgombeza/unamkaripiaSasa usiposema kuwa umejasirika mimi nitajuaje? Nachukia sana watu wanaojinunisha wakikosewa badala ya kusema. Halafu kuna dhambi gani mwanamke akiamini kuwa anaweza kusimama mwenyewe?
Hell no. Yaan huwa namuonya kabisa. Akiendelea nacho . Namuonyesha mlango. Huwa sina masihara kabisa.We J wewe, you don't give a second chance?
Unajua nilipokuwa mdogo nilikuwa nashangaa kwanini mama zetu walikuwa wanachapwa makofi na wazee wetu na cha ajabu waliweza kuishi nao mpaka wanazeeka bila ya hata kuachana na baada ya hapo unakuta mapenzi yananoga kweli,sikuwahi kumsikia eti anataka kuondoka wala nini,CHAPA KOFI huyo...Kwa mtazamo wangu mwanamke hadi kufikia kukujibu shit au kukukera bila kuwaza ujue habari yako imeisha.
Umemchekea sana na kashakuona dhaifu juu yake. Dawa ni aidha kumtia mbata kama recovery plan hasa kwa mtu ambaye hutaki au ngumu kumuacha au ku exit uhusiano aende zake akafie mbele huko.
AiseeHell no. Yaan huwa namuonya kabisa. Akiendelea nacho . Namuonyesha mlango. Huwa sina masihara kabisa.
Hata akikasirika we mwambie tu kwani akikasirika anakufa?Wengine hawapendi waambiwe wakikosea na ukifanya hvyo umempa sababu ya kukwambia kuwa unamgombeza/unamkaripia
We huwajui visirani kuna watu jambo dogo atatembea nalo na atalitumia miaka nenda rudiHata akikasirika we mwambie tu kwani akikasirika anakufa?
Pumbavu sana😂I dont play games na mwanamke wa hivyo mara nyingi akinionyesha jeuri . Namuonesha mlango wa kutokea.
Tena aende wala sifikirii mara mbili.
Sasa usiposema kuwa umejasirika mimi nitajuaje? Nachukia sana watu wanaojinunisha wakikosewa badala ya kusema. Halafu kuna dhambi gani mwanamke akiamini kuwa anaweza kusimama mwenyewe?
Hahahah mwanamke usimnyime kofi, yani hapo atakupenda sana zaidi ya sana. Humu wanajitetea tu na kupiga beat kwamba eti hawataki mwanaume mbabe ila wakipata wapole wanawendesha kama gari mbovu 🤣🤣🤣Unajua nilipokuwa mdogo nilikuwa nashangaa kwanini mama zetu walikuwa wanachapwa makofi na wazee wetu na cha ajabu waliweza kuishi nao mpaka wanazeeka bila ya hata kuachana na baada ya hapo unakuta mapenzi yananoga kweli,sikuwahi kumsikia eti anataka kuondoka wala nini,CHAPA KOFI huyo...
Gari bovu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah mwanamke usimnyime kofi, yani hapo atakupenda sana zaidi ya sana. Humu wanajitetea tu na kupiga beat kwamba eti hawataki mwanaume mbabe ila wakipata wapole wanawendesha kama gari mbovu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dats Ma Mane!!! Good job [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Hapana bebe, kwanza siwezi kumuudhi mtu yeyote kwa makusudi. Pia kuna makosa unaweza ukafanya kwa kutokujua kuwa umemkosea mtu, vilivile kuna ile umekosea unajua mtu amechukulia poa amesamehe juu kwa juu kumbe jitu limenununa hehehe jinunishe mpaka upasuke dadeki