Weza
Senior Member
- Oct 24, 2013
- 118
- 78
Tokea aolewe kwa ndoa na mumewe hata miaka miwili haijapita, kabla alikua yuko poa tu kwenye uchumba japo yalikua mapenzi ya mabali wanakutana kipindi cha likizo au kutembeleana, baada ya kuoana mwanaume kafanya mbinu zote akamuhamishia mke mjini ili awe karibu na yeye na mke kamkuta kaka akiwa na nyumba zake nne tayari na magari mawili akaona isiwe shida akamunulia na mkewe gari ya kwake maana mke alidai anataka gari yake binafsi na ana choice ya gari sio hizo za jamaa.
Jamaa akanunua, wakajaliwa watoto mtoto mmoja, ila cha kushangaza hata kabla ya mimba mwanamke kila siku analalamia ooh, unakoroma, ooh hujui mapenzi, ooh nikiumwa unaacha ku make love na mimi kwa kisingizio unanihurumia.
Kwenda ukweni kwao mume dada anavaa nusu uchi jamaa kamuomba vaa hata vitenge au khanga sio heshima mke anamwambia kama hunitaki narudi kwetu, mkwe kaona aibu kampa kanga vaa hii mama, basi usiku kucha kalia anataka kuondoka hayo sio maisha, basi wamerudi kwao anahama chumba kila siku analala chumba kingine, hamsemeshi mumue, mume akitoka kwenda hata bar kukutana na friends wake atamfuata huko baa atamtukana na kurukia ngumi makucha mradi ugomvi na pete baada ya miezi mitatu toka wafunge ndoa aliivua kisingizio inambana, kwakifupi anakaribia mwaka hawezi kutoa penzi kwa mumewe mpaka mume ambake, huyu jamaa ni rafiki sana wa kakaangu katuomba ushauri afanye nini na kwasasa mwamke kahama chumba kabisaa, outing hua hakubali kutoka na mumewe wala kwenye harusi wala sherehe yeyote. Ushauri
ushauri wenu wadau huyu kaka afanye nini? Maana kajitahidi kufanya kila njia ku mplease mkewe lakini wapi, mshahara wa mke hua hawezi nunua hata nyaya na mume hua hamuulizi, mafuta ya gari ni mume anamuwekea, pesa ya saloon ni mume, nguo na matumizi yote ni mume ila huyo dada hata chumvi hawezi nunua kwa pesa yake mpaka mume arudi, ushauri watu wangu.