Mwanamke huyu ana matatizo gani?

Mwanamke huyu ana matatizo gani?

huyo demu wako style yake nimeipenda..uenda ni moja ya njia ya kumfanya mwenza wako awe na mzuka wa kukutana na ww..ila mwaka ni parefu duu
 
Sikupenda nije nitoe siri zake hapa ndan lakini sina jinsi nimechoka
Nina mpenz wangu tuna mwaka mmoja nae tatizo ni kuwa tukifanya mapenzi hatak kuvua nguo zote na wala hataki niuone uchi wake na pia hapendi nimfanyie ma#romance wala nimchezee sana
Nilimwambia akasema kuwa ye ana aibu
Siku 1 nilimvulia nguo zote ikawa ugomvi mkubwa
Iv wanajamvi ni kwel aibu au kuna tatizo gn
Kumbuka tuna zaid ya mwaka 1 ktk mahusiano

huyo atakuwa anapepo lkn sio aibu, kwan ww ni kwnz kwake?
 
Sikupenda nije nitoe siri zake hapa ndan lakini sina jinsi nimechoka
Nina mpenz wangu tuna mwaka mmoja nae tatizo ni kuwa tukifanya mapenzi hatak kuvua nguo zote na wala hataki niuone uchi wake na pia hapendi nimfanyie ma#romance wala nimchezee sana
Nilimwambia akasema kuwa ye ana aibu
Siku 1 nilimvulia nguo zote ikawa ugomvi mkubwa
Iv wanajamvi ni kwel aibu au kuna tatizo gn
Kumbuka tuna zaid ya mwaka 1 ktk mahusiano
ana miaka mingapi
 
Siku hizi nashindwa hata kushauri inawezekana wewe ni mtoto na bado unahitaji kukuwa.
 
we kwanini unachungulia uchi wake??? hata mie sipendi kuchuguliwa

alafu kwanini unataka kumchezea sana ayo maromansi

angalizo
unayosoma hapa JF usifikili wote wanayafanya na usifikili wote wanayapenda
pia unayoona kwa mapicha ya x usifili wote wanayapenda

Naona idara yetu ya pale oyster bay imekuhamisha maeneo! Full mauzo triple 7
 
Sikupenda nije nitoe siri zake hapa ndan lakini sina jinsi nimechoka
Nina mpenz wangu tuna mwaka mmoja nae tatizo ni kuwa tukifanya mapenzi hatak kuvua nguo zote na wala hataki niuone uchi wake na pia hapendi nimfanyie ma#romance wala nimchezee sana
Nilimwambia akasema kuwa ye ana aibu
Siku 1 nilimvulia nguo zote ikawa ugomvi mkubwa
Iv wanajamvi ni kwel aibu au kuna tatizo gn
Kumbuka tuna zaid ya mwaka 1 ktk mahusiano

Yeye "hataki kuvua nguo" zote, wewe ukamvulia "nguo zote".

Hataki "kuvua" au hataki "uvue"?

Zinaa ni uchafu, msiikaribie,
 
we kwanini unachungulia uchi wake??? hata mie sipendi kuchuguliwa

alafu kwanini unataka kumchezea sana ayo maromansi

angalizo
unayosoma hapa JF usifikili wote wanayafanya na usifikili wote wanayapenda
pia unayoona kwa mapicha ya x usifili wote wanayapenda

Mkuu nakubaliana na wewe kuwa c wote watayapenda mambo ambayo wewe umejifunza kwa watu au kupitia video za x, lakini pamoja na yote me naamini wakat mwingine na utoto pia unachangia kwasababu mapenzi ni starehe na lazima watu mtomboane mkiwa uchi wa mnyama sasa kama hutaki kuvuliwa nguo, kuchunguliwa au kuchezewa ndo' mapenzi gani sasa?
 
Muulize kwa nini anafanya hivyo, yeye ndio mwenye jibu.
 
Back
Top Bottom