Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Ana umri gani? Amekeketwa? Usije ukawa unashughulika na mtoto au mtu aliekeketwa. Aibu inaletwa na wasiwasi kuwa kuna kitu hakiko sawa, muulize taratibu atakueleza kwa sababu ni vigumu kuzijua kutokana na kuwa ni nyingi.
Akikupa black and white usimuache kwani umeutaka ukweli wewe mwenyewe usije ukamuona kama hafai.
Akikupa black and white usimuache kwani umeutaka ukweli wewe mwenyewe usije ukamuona kama hafai.