Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 330
- 1,244
Marilyn Monroe ni moja ya wanawake wanaotajwa kuwa na IQ kubwa kuwahi tokea duniani alikuwa na IQ ya 165 kubwa kuliko ya Albert Eisten ambaye alikuwa na 160.Ila cha ajabu licha ya maarifa makubwa aliyokuwa nayo hakuacha alama yeyote duniani kwa kupitia maarifa yake.
Na hii ni moja ya mifano tosha kwamba unaweza kuwa na maarifa makubwa sana ,Na ukashindwa kuyatumia hadi muda unaondoka duniani Naaam