Teamo sasa waulizwe wanaume au wanawake..?mkuu wangu Mtambuzi
mi nadhan hawa wanaume waulizwe tu....!kiukweli mim binafsi hufika mahali ninajilaumu sana kwa uamuzi mgumu nilioufanya
Natamani sana siku moja nioe, nami niitwe mume nami niite mke, sina matarajio makubwa kwenye ndoa yangu.......just anifulie nguo zangu, anipikie chakula, afanye usafi nyumbani, anipe pale kati, niishi kwa peace.....bhaaaaaaaaaaassssssss sihitaji kingine zaidi!!!!!
kuna tofauti kubwa kati ya uhalisia na ndoto Mtambuzi inabakia pale pale kuwa mambo haya lazima yawepo ili dunia izunguke siku 356 na robo .kiuhalisia huwezi pata jubu sahihi wengi wanajuta kwenye ndoa wanawaza kwanini waliingia wengine wanang'ang'ania kuingia.nawashauri sana wenye ndoa zenu maisha hubadilika sana watu hawabaki constant kadri dunia inavyokucha watu wanabadilika .panua akili yako kaa katikati ya ndoto na uhalisia kwamba itakapotokea ndoa imekushinda give up.mimi nasema kuwa sintaupa moyo wangu hata sekunde kusikitika juu ya maamuzi ntakayofanya .nilizaliwa mwenyewe,ntazikwa mwenyewe,iam incharge of my own life ,nikifa ndoa imeishia hapo so ya nini kuitesekea .ISHI KWA AKILI HAPA DUNIANI UTAFIKA MBELE ZA MUNGU AKUTANDIKE MAKOFI NDIOPO AKUHUKUMU SABABU U WERE TOO IGNOGANT

Mkuu kama unaweka katika mizania wanawake ndio hujuta zaidi katika jambo hilo...@ Mtambuzi
mimi naamini kabisa kuna wanaume ambao pia hutamani sana kutoka nje
ya hii system-marriage...!ninaamini hivyo
Kwa hiyo swala hapo ni kiwango cha uvumilivu alicho nacho mwanamke katika ndoa yake ama? MADAM T tafadhali hebu fafanua hapo kidogoIngawaje huwa nakwazwa lakini sio kiasi cha kutaka kutoka looh ndoa ina raha yake bwana, najaribu kuwaza ningekuwa sijaolewa ingekuwaje, labda ningezaa na mume wa mtu ...halafu inakuwaje ukikaa nae anakwambia ngoja niwahi kwa wife, halafu nanuna au? Aaa hapana imekaa vibaya kwangu. Sitamani kutoka jamani.....na mnaotaka kuja njooni tu..
Maisha ni kupanda na kushuka kama ilivyo kwa ndoa kuna raha na machungu yake ndo mana wengine wanatamani kuingia na wengine kutoka pamoja na hayo MUNGU amewapa uvumilivu na ndo mana wengine wapo mpaka leo..........kuhusu ndani ya ndoa siwezi kusemea saana coz mengi siyafahamu..
Yeah Chocs wanasema ukiaka kujua uhondo wa ngoma ingia ucheze...
Unajua sio kwamba mimi sijui kuwa ndoa ni kupanda na kushuka, najua sana, ninachojaribu kuchimba hapa ni kutaka kujua ni kwa nini siku hizi kauli za wanawake wanaojuta kuingia katika ndoa zimekuwa nyingi na wanaotamani kuingia wamekuwa wengi?
Au kwa sababu zamani matatizo ya ndoa mara nyingi yalikuwa yanafichwa lakini siku hizi huwekwa bayana?
Je ni mabadiliko ya kiuchumi na utamaduni ndio chanzo cha mtanziko huo au ni kitu gani hasa...?