HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 May 26, 2014 #2 Jamaa kazidiwa angalia mguu wake wa kulia unachuchumia kama hakumwangusha sijui, halafu kuna mayowe yanaendelea muangalie bibie aliyebebwa
Jamaa kazidiwa angalia mguu wake wa kulia unachuchumia kama hakumwangusha sijui, halafu kuna mayowe yanaendelea muangalie bibie aliyebebwa
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 May 26, 2014 #3 Huu ulikuwa ni ubishani tu..
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 May 26, 2014 #4 Halafu kama siku ya valentaini vile jamaa anaonesha upendo hahahaaa!
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,343 Reaction score 16,807 May 26, 2014 Thread starter #5 HARUFU said: Jamaa kazidiwa angalia mguu wake wa kulia unachuchumia kama hakumwangusha sijui, halafu kuna mayowe yanaendelea muangalie bibie aliyebebwa Click to expand... kwa lugha rahisi nadhani jamaa anataka kujiua aiss!
HARUFU said: Jamaa kazidiwa angalia mguu wake wa kulia unachuchumia kama hakumwangusha sijui, halafu kuna mayowe yanaendelea muangalie bibie aliyebebwa Click to expand... kwa lugha rahisi nadhani jamaa anataka kujiua aiss!
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,343 Reaction score 16,807 May 26, 2014 Thread starter #6 bysange said: Halafu kama siku ya valentaini vile jamaa anaonesha upendo hahahaaa! Click to expand... hapo hata akifikisha mzigo geto sidhani kama ataweza kula!
bysange said: Halafu kama siku ya valentaini vile jamaa anaonesha upendo hahahaaa! Click to expand... hapo hata akifikisha mzigo geto sidhani kama ataweza kula!
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 May 26, 2014 #7 Muangalie huyu mwanamke anaeshuhudia upande wa kulia naona kama amevaa slide
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 May 26, 2014 #8 Zamaulid said: hapo hata akifikisha mzigo geto sidhani kama ataweza kula! Click to expand... hahahaaaaa,nahisi atajibrazashugakeni,lol!
Zamaulid said: hapo hata akifikisha mzigo geto sidhani kama ataweza kula! Click to expand... hahahaaaaa,nahisi atajibrazashugakeni,lol!
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,343 Reaction score 16,807 May 26, 2014 Thread starter #9 bysange said: hahahaaaaa,nahisi atajibrazashugakeni,lol! Click to expand... kweli mkuu wasukuma wanasema kopyanja ete khoulumanga!ataonja hata kama ni kwa kulamba!
bysange said: hahahaaaaa,nahisi atajibrazashugakeni,lol! Click to expand... kweli mkuu wasukuma wanasema kopyanja ete khoulumanga!ataonja hata kama ni kwa kulamba!
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,343 Reaction score 16,807 May 26, 2014 Thread starter #10 Zamaulid said: Click to expand... sijui hawa wengine nao wanasubiri zamu zao!!naona wamesimama msimamo wa kubebwa!
Zamaulid said: Click to expand... sijui hawa wengine nao wanasubiri zamu zao!!naona wamesimama msimamo wa kubebwa!
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 May 26, 2014 #11 Ahhahahah huyo bonge alobebwa ni ghananian actress kuna movie moja anataka nae awe model lol.... Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ahhahahah huyo bonge alobebwa ni ghananian actress kuna movie moja anataka nae awe model lol.... Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 May 26, 2014 #12 Zamaulid said: Click to expand... Mzigo mzito mpe Mnyamwezi utafika tuu:smile-big: