masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,376
- 19,262
Acha mapenzi ya lamujere de vida wewe..? Mademu wengine mnadanganyana mno hapa jf..kama unashindwa kushukuru tu kwa mtu kukupa dawa, chakula na kuacha kazi zake kukuuguza bora uondoke.. Nashukuru kuna wasichana wanajitambua si kama nyinyi hapa jf na maisha yenu ya muvi
Ataridhikaje kama hajaridhishwa? Take a lesson man acha kulalamika....
Wewe hayo mapenzi mengine imeyaona wapi..sisi tupo hiku hatuoni mapenzi ya kishamba hayo ya kutoangalia mambo makubwa unaangalia mdogo..au unafikiri mapenzi ya tv ya kina jay z na beyonce...ndo watu wanaish street..mademu wa kibongo ni limbukeni
Mimi nikufuatiliwe wewe una nini..?cha kukufuatilia..? unamjua siafu dume ..? nacoment na kupinga au kuunga mkono chochote na popote, huwezi ukabipangia..na sifagolii mtu yeyote hata wewe km unapotosha nakwambia ukweli tu.. Km umezoea sifa za facebook ni huko..ukiona nakandia sana reports kwa mods kwamba huyu jamaa badala ya kutusifia anatukandia tu..tangu jana naona kila ninachocoment unakuja na kukicrash
sikiliza siafu dume hapa jf kila mtu ana mtazamo wake na ana uhuru wa kukoment anachotaka nimekuona mara nyingi unawapondea wadada wa jf maraa oooh sijui hawajitambui mara kuna mmoja alikuja ofisini akaanza kujishaua
sikiliza ni kwambia maswala ya kuexpose mambo ya members na kujifanya una mfumo dume hapa hayako sheria zinaeleza wazi hakuna mtu mwenye ruhusa ya kumkandia member mwenzie tena wewe umegeneralize
nenda kasome kanuni za humu,,mpaka hapo unastahili ban kwani kila aliyemo humu anajua haki yake kulingana na sheria sasa wewe jifanye una jazba na wasichana wa humu
kwa lugha nyepesi una tenga wanawake wakati sheria imesema sisi wote ni wa moja lakini pili ume expose ya huko mtaani hapa
na la tatu unachochea vurugu kati ya wanaume na wanawake
na kama unajihisi hapa tunadanganyana nenda twitter kawafollow kina bruno mars,breezy,whistle,hii tuachie waongo
watch ur back kuku report kwa mods ni jambo jepesi
Haya bana..angalia hoja yangu kwa umakiniNilichogundua wewe utakua kijanaume na huna sifa ya kuwa mwanaume huwezi kupambana kwa hoja ya nguvu na sio nguvu ya hija tupa kule .
Mbona unamtisha jamaa na mambo ya mods, umeshindwa kupangua hoja zake, ndo jf forum hiyo the home of great thinkerstangu jana naona kila ninachocoment unakuja na kukicrash
sikiliza siafu dume hapa jf kila mtu ana mtazamo wake na ana uhuru wa kukoment anachotaka nimekuona mara nyingi unawapondea wadada wa jf maraa oooh sijui hawajitambui mara kuna mmoja alikuja ofisini akaanza kujishaua
sikiliza ni kwambia maswala ya kuexpose mambo ya members na kujifanya una mfumo dume hapa hayako sheria zinaeleza wazi hakuna mtu mwenye ruhusa ya kumkandia member mwenzie tena wewe umegeneralize
nenda kasome kanuni za humu,,mpaka hapo unastahili ban kwani kila aliyemo humu anajua haki yake kulingana na sheria sasa wewe jifanye una jazba na wasichana wa humu
kwa lugha nyepesi una tenga wanawake wakati sheria imesema sisi wote ni wa moja lakini pili ume expose ya huko mtaani hapa
na la tatu unachochea vurugu kati ya wanaume na wanawake
na kama unajihisi hapa tunadanganyana nenda twitter kawafollow kina bruno mars,breezy,whistle,hii tuachie waongo
watch ur back kuku report kwa mods ni jambo jepesi
Nilichogundua wewe utakua kijanaume na huna sifa ya kuwa mwanaume huwezi kupambana kwa hoja ya nguvu na sio nguvu ya hija tupa kule .
mapenzi yanaumbwa na vitu vidogo mno halafu inabidi umwelewe mpenzi wako ni mtu wa kupenda vitu gani wengine hata ufanye nini kama hujamhug mbele za watu anakuona humpendi
Huyo dada aliumwa kwa sababu hukumgegeda vizuri ndio maana aliumwa na ana haki ya kusema hukumjali!Nina mpenzi wangu anayefanya kazi Morogoro, mwezi march alikuja kunitembelea sababu alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2 na siku 3 tangu afike. Alishikwa na malaria kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze. Kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa, pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa. Mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro. Lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu sikuwahi kumletea kadi ya get well soon. Ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali?
Mbona unamtisha jamaa na mambo ya mods, umeshindwa kupangua hoja zake, ndo jf forum hiyo the home of great thinkers
Nina mpenzi wangu anayefanya kazi Morogoro, mwezi march alikuja kunitembelea sababu alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2 na siku 3 tangu afike. Alishikwa na malaria kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze.
Kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa, pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa. Mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.
Lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu sikuwahi kumletea kadi ya get well soon. Ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali?
wewe dada una akili sana, huyu jamaa anfikiri chakula kinawatosha, alitaka achapwe pia...hajui wengine dawa za malaria huwa zinaongeza njegere.....!
tangu jana naona kila ninachocoment unakuja na kukicrash
sikiliza siafu dume hapa jf kila mtu ana mtazamo wake na ana uhuru wa kukoment anachotaka nimekuona mara nyingi unawapondea wadada wa jf maraa oooh sijui hawajitambui mara kuna mmoja alikuja ofisini akaanza kujishaua
sikiliza ni kwambia maswala ya kuexpose mambo ya members na kujifanya una mfumo dume hapa hayako sheria zinaeleza wazi hakuna mtu mwenye ruhusa ya kumkandia member mwenzie tena wewe umegeneralize
nenda kasome kanuni za humu,,mpaka hapo unastahili ban kwani kila aliyemo humu anajua haki yake kulingana na sheria sasa wewe jifanye una jazba na wasichana wa humu
kwa lugha nyepesi una tenga wanawake wakati sheria imesema sisi wote ni wa moja lakini pili ume expose ya huko mtaani hapa
na la tatu unachochea vurugu kati ya wanaume na wanawake
na kama unajihisi hapa tunadanganyana nenda twitter kawafollow kina bruno mars,breezy,whistle,hii tuachie waongo
watch ur back kuku report kwa mods ni jambo jepesi
Dah bora umempa za uso huyu jamaa yani alikuwa ananichosha mpaka nikashindwa kumfananisha na wanaume wa ukweli niliozoea cmment zao humu ndani lah! Unajua ni kama ana bifu na jinsia hii sasa najiuliza kazaliwa na nani je alikozaliwa hana dada kama wa tumbo moja hata wa mama mdogo au mkubwa yani nilichoka sa ban imetunyoosha tu sijui ingekuaje lkn dada masai na wanawake wote jf tumsamehe huyu siafu hajui atendalo.
unamjua joka kibisa?
Nadhani utakuwa umenielewa,
enjoy ur weekend sweetheart.