Mwanamke hapigwi....!!!

Hayo mambo ya kupiga mke yameshapitwa na wakati, sikuhizi kunatekniki mpya ya kumuadhibu mke, sio kupigana kutiana sugu ukubwani!!!
 
na tuliooana katika ndoa za kikikristo ambapo hakuna kuachana tufanyaje sasa....?kama kuachana ndo last solution
kuvumila kupigwa tu ndo suluhu kama hubadiriki!!ila hata ndoa za kikristo kuna makosa yanayoruhusu kuachana!!
 



Pamoja hatujui sababu, ila kiukweli mlifanya la maana, maana hawa watu hawapigwi.......mwanamke anabembelezwa bwana. Hivi kweli mkeo mliependana kwa dhati umpige ngumi, mateke na mikanda hadharani..... hii hapana wazee, hapa watu wanakosea sana kufanya uamuzi kama huo, ila sijui huenda labda walioona kwa kulazimishwa au labda usikute ni wale wazee wa kanda maalum za kipolisi wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…