Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
jamaa mmoja leo kama dakika kumi zilizopita alipita mtaani kwetu huku akimshushia kipigo mkewe kwa mikanda.ngumi na mateke hadharani....ila kwa ujasili wanaume kadhaa tukaungana na kufanikiwa kumkamata na kumwadhibu huku watoto wakimwimbia wa mwanamke hapigwi....kiukweli kwangu ni la kishujaa na nimefurahi kuona vijana tunaweza kua wapigania haki ikiwa tuu tutajua na kutambua wajibu wetu...........ujumbe....timiza wajibu wako ili uweze pata haki yako. tuamke.
kumpiga mke ni ushamba
mke akikosea anastahili mabusu
tele ili asirudie kosa, nyie hamjuagi tu!!mmefanya vema!!
sasaI used to believe that way!bt to SOME WOMEN,not wote,as wengine ni zaid ya watata!
Kuna wengine wanavaa min skirt na suruali ukimpa wax ataona kama umempa ssijui ninihuo ni udhalilishaji.....mke anapigwa na kitenge cha wax
sasa
ukimpiga ndio unampa usugu kabisaaaa!!!
ulimuuliza sababu za kumpiga mkewe hadharani!!!
kuachana ni last solution baada ya zingine kushindikana!adhabu katika maisha si mbaya tupeane adhabu hata kama hatuzipendi zinalengo zuri tu!!!Hakuna sababu yoyote justifiable ya kumpiga mwenza. Ndo maana hata dini ina option ya kuachana!
Kuna wengine wanavaa min skirt na suruali ukimpa wax ataona kama umempa ssijui nini
kuachana ni last solution baada ya zingine kushindikana!adhabu katika maisha si mbaya tupeane adhabu hata kama hatuzipendi zinalengo zuri tu!!!