Sawa kabisa.Inategemea n.a. utaratibu wa mkopo. Ukimtoa kishikaji itakula kwako.
Mpe kwa taratibu zote za mkopo-maandishi,dhamana n.a. shuhuda ya mwanasheria.Kama hataki asepe zake.
Anataka umuombe uchi tu yaisheKweli asee mimi kuna dada mmoja tumeishi nae mtaa mmoja.. Nilimpa pesa kama mkopo.. Mpaka nnavyo ongea hivi sijalipwa napigwa sound balaa imebidi nikae kimya siku akijisikia atanipa...
Muitee akulipee cha katikati..Kweli asee mimi kuna dada mmoja tumeishi nae mtaa mmoja.. Nilimpa pesa kama mkopo.. Mpaka nnavyo ongea hivi sijalipwa napigwa sound balaa imebidi nikae kimya siku akijisikia atanipa...