Mwanamke haeleweki

Mwanamke haeleweki

Mwanzo ni Mwisho

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
4,394
Reaction score
10,836
Wakuu!

Mwanamke aeleweki adhima yake,

Rejea kichwa cha habari hapo juu

Walipenda baadae wakatengana lakini cha kustaajabisha baada ya kutengana mwanamke analeta ubabaishaji wa akili kwa mwenzake wakati anajua wameshatemana. Mara anatumia namba nyingine na kujitongozesha
mara mapicha picha kibao whatsaap alafu mwisho utakuta "sorry nime wrong namba"
mara atumie whatsaap ya shot wake kukupima kama utamtongoza shost wake na anajua fika mmeshatema na vituko vingine kibao vya kitoto toto
sasa kwenye bottom line mwanake wa desgn hii tumuelewe.

Vipi jamani wakuu

Wakuuu!
 
Acha kukimbia usimame kwanza ndo uandike Mkuu.

Wanawake wengine hawajielewi na hyo ni mmoja wao.
 
Mwanamke wa aina hio anakuwa jambazi, Alikuibia mara ya kwanza sasa anakuja na mbinu mpya za kukumaliza na ujambazi wake.
 
Mnachokosea ni kutumix pamoja. Wanawake,sio mwanamke wako ana vituko hivo au haeleweki you refer wanawake. As if you date all women in the world
 
wakuuu!
mwanamke aeleweki hadhima yake,

rejea kichwa cha habari hapo juu

walipenda baadae wakatengana lakin chakustaajabisha baada ya kutengana mwanamke analeta ubabaishaji wa akili kwa mwenzake wakati anajua wameshatemana

mara anatumie namba nyingine na kujitongozesha
mara mapicha picha kibao whatsaap alafu mwisho utakuta "sorry nime wrong namba"
mara atumie whatsaap ya shot wake kukupima kama utamtongoza shost wake na anajua fika mmeshatema
na vituko vingine kibao vya kitoto toto
sasa kwenye bottom line mwanke wa desgn hii tumuelewe vipi jamani wakuu

wakuuu!
Sio mbaya kula kiporo coz bando halichachi now days
 
Back
Top Bottom