Mwanamke haaminiki

Mkuu ulichosema ni kweli hakuna mwanaume wala mwanamke kikubwa ni wewe tuu. mm nakwambia bora usalitiwe na watu wa jinsia nyingine kuliko jinsia yako.
Mmmmh bado km sijakuelewa,

Nibora usalitiwe na watu wa jinsia nyingine kuliko wa jinsia yko;!!!! Kivipi mkuu umeniacha kdg
 
Mmmmh bado km sijakuelewa,

Nibora usalitiwe na watu wa jinsia nyingine kuliko wa jinsia yko;!!!! Kivipi mkuu umeniacha kdg
Mimi ni mwanaume hivyo basi ni bora usalitiwe mara 1000 na mwanamke kuliko mwanaume mwenzio.
Hapo utanielewa sasa.
 

Kuna mdingi mmoja alinihusia maneno haya;
"do not beleave any women, especially naked"
Niliyapuuzia haya maneno, lakini kwa sasa nayaamni 100%
 

Ndio hivyo hawaaminiki...ishi nao kwa akili sana masta


Kwa mtazamo wangu hata sisi wanaume hatuaminiki, fanya utafiti utagundua. Hili tatizo ni la pande zote, ila sisi ni wepesi sana kuwashambulia wenza wetu

Mwanamke Ni Msaliti Haswa Wala Usijiraumu Kabisaa Kwanza Angekuharibia Ndoto Zako

Trust no one!

Mwanamke wa kumuamini ni mmoja tu MAMA YAKO MZAZI OVA


Hakuna mstari wa kitabu cha mithali unaosema " ishini na wake zenu kwa akili"... We pia inaelekea huaminiki hausemi ukweli

Yaani

Before pointing fingers kwa mtu jiulize na wewe uko neat?
 
Hata MAMA haaminiki kabisa na baba, usidanganyike ndugu yangu
Unajua mkuu watu ukifunguka live hapa wanakuona kama mgonjwa waakili ila kiukweli ni sahihi kabisa kwa asilimia 100%

Nimeishi uchagani mda mrefu nimepata visa vingi tuu vya hao wanawake wakitoa watoto wao kafara. Wengine hawakuhishia hapo wakaenda kwa wazazi wao na ndugu au watu wengine sasa utaniambiaje eti niamini mtu?
 
wanawake dada zetu mama zetu bibi zetu shangazi zetu lakini mmhhh
 
KIlikupata kitu gani mkuu? embu tupe mkasa wako.
Kuna m/mke tuliheshimiana kiasi kwamba siwezi kueleza nikamaliza hapa! Kifupi nilipokuja yumba kiuchumi siamini dharau nilizozipata kutoka kwa yule kipenzi changu cha rohoni! Sikutegemea na wala sijawahi kufikiria hivyo!
"do not beleave any woman, especially naked"
Ova
 


Huyu jamaa kuna kitu kinamsumbua tena kikubwa mno kama kuna wanaoweza kumsaidia Wamsaidie haki ya Mungu nimecheka hadi machozi hahahah
 
NEVER AND I REPEAT NEVER TRUST A WOMAN... HATA MAMA YAKO USIMWAMINI THE ONLY ONLY THING YOU COULD TRUST YOUR MOTHER NI KWA KUKUZAA TU THE REST DO NOT TRUST.
Hapa kuna walakini.
 
Hapa kutakuwa na mvurugiko mahali Fulani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…