Mwanamke haaminiki

Yaani huyo kijana mkuu atakuwa ananyemelewa na chembechembe za laana maana hamwamini hata mama yake aliyemtunza tumboni mwake kwa miezi Tisa na kumlea hadi anapata utamu wa kugegeda na kuwadharau wanawake .It's bullshit!!
 
Yaani huyo kijana mkuu atakuwa ananyemelewa na chembechembe za laana maana hamwamini hata mama yake aliyemtunza tumboni mwake kwa miezi Tisa na kumlea hadi anapata utamu wa kugegeda na kuwadharau wanawake .It's bullshit!!
Watu wa aina hii ni kuwaangalia tu
 
demu wa 18yrs unamuita mwanamke?
.
.
Kwahiyo ina maana matatizo yote kwenye mapenzi ni mwanamke anasababisha?
.
.
Nina wasiwasi hata mama zenu hamuwaamini. Hata baba zenu hawaamini mama zenu.
.
.
Wanaume muanze kuoana nyie kwa nyie. Kutwa kuanzisha mahusiano na watu mnaojua fika hawaaminiki.
 
Swadakta, kiufupi alikua anadate na kasichana na sio mwanamke.
 
Achana na uyo mwanamke hakua paji lako,..muombe Mungu kua na subra utampata wa ubavu wako,..
 
Si madume wala majike wotee si wakuwaamini
 
Mkuu umesema ukweli mtupu,tunatakiwa kuishi na wanawake kwa akili and never trust a woman 100% except your mother !!!!!
 
Akili zao wanawake wanazijua wenyewe aiseeee. ..hawana shukrani hao , upo hospitali tena umelazwa umetundikwa dripu yeye anakuomba pesa ya matumizi.
 
Aisee, hayo maneno ya mwisho makali sana, wakati mwingine usipate stress na mada za namna hii. Pengine umri wake unamruhusu kuandika haya. NB:- Hakuna mwanaume asiyemwamini mama yake labda awe mvulana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…