Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
- #81
tobaaa!Mimi jokate tu walahi
ngoja Mange akusikie!
tobaaa!Mimi jokate tu walahi
Tembelea maeneo ya Masjid Al-Qiblataen utamkuta mwanamke huyo.Mimi sijachagua,
Mwanamke ninaye mtaka hayupo ktk namba 1,2,3 & 4.
Namtaka huyu:
A.Awe mtii
B.Awe na MchaMungu.
C.Siangalii kigezo cha elimu
D.Asiyejikoboa wala kuweka ya dawa kichwani(kukari n.k).
E.Asiyevaa nguo fupi wala suruali.
hihihiTembelea maeneo ya Masjid Al-Qiblataen utamkuta mwanamke huyo.
HahahaHakuna kama single maza,they got grown up mind!![]()
Huyu angekuwepo malaya wengi wangekosa soko!hataree
utamuumba sio?
mimi ndio nakosesha malaya soko?Huyu angekuwepo malaya wengi wangekosa soko!
Mange ndio Nani?tobaaa!
ngoja Mange akusikie!
nenda instagram utajuaMange ndio Nani?
OK. Situmiagi insta gram lknnenda instagram utajua
aisee
KUNA THREAD ITAFUTE UTAIONA
Bro una muda gani kwenye ndoa??4.
Mwenye hofu ya Mungu, Anayenivutia mimi, Mcheshi, mpambanaji, reasonable etc.
Hiyo ni nadharia tuu, ukija kwenye vitendo ukimpata anayekidhi 'vigezo' vyote unamshukuru Mungu.Vinginevyo unachagua anayeendana kwa ukaribu na mke wa kufikirika.
Namshukuru sana Mungu kwa mke niliye naye.Ni miongoni mwa wanaume tuliobahatika niseme.I am proud of her.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani walau wa wastani,presentable,nkipita nae barabarani nitembee kifua mbere kama alivyosema mkulu
Ni swali rahisi tu wala usijifanye hauelewi
Wewe kama Mwanaume (Kidume/ Rijali)
Ungependa uoe Mwanamke was aina Gani Kati ya hawa 3?!
1. Mwanamke mpole, sio bikra, mnyenyekevu, mkimya, ukimtukana hajibu, akikuona unakuja anakukimbilia kukupokea mzigo uliobeba, anampenda Mungu, mtulivu, Introvert, kila ukimpa idea anasema ndio bwana upo sawa bwana, hachangii maendeleo anakuachia kila kitu ufanye Wewe, changamoto za maisha zikija anakukimbilia Wewe, elimu chuo kikuu
2. Mwanamke Mjanja, aggressive, sio bikra, fighter, mchapakazi, changamoto za maisha zikija anazimaliza mwenyewe alafu anakupa mrejesho, anachangia maendeleo mwanzo mwisho, sio mpole (mwongeaji), ana akili (smart), anampenda Mungu, elimu chuo kikuu
3. Mkimya, sio mwongeaji, ana bikra, changamoto za maisha zikija anachangia ila 70% anakuachia mume, ndio bwana madizaini, elimu chuo kikuu
4. SICHAGUI HATA M1 UTAKAEMCHAGUA
Kuwa mkweli Mwanamke yupi Kati ya hao 3 utamuwowa?!
Au wewe chaguo lako ni no 4?!