Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,070
- 3,028
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hii imeenda [emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hii imeenda [emoji23]
Maamuzi gani ambayo hayapaswi kushirikishwa mama ndugu Cybercurex ??najaribu kufatilia maamuzi ya kiutu uzima nipate kuyajuaKumuamini Mama ni kitu kizuri kaka,lakini kuna ile hali Maamuzi ya kiutu uzima hayaonekani. Kuna mtu anamtegemea mama yake kiasi kwamba siku asipokuwepo mambo yanaharibika kabisa.
Tumeshakuelewa😃😃Sitaki kuchangia
✍️
Upo sahihi mkuuHuyu si mwingine Bali ni mom's boy.
Hii ni term inayotumika kumwelezea mwanaume ambaye anamtegemea Mama yake katika umri ambao anatakiwa ajisimamie mwenyewe.
Ni mwanaume ambaye hawezi kufanya chochote bila kumshirikisha Mama yake.Ni kweli kuna mambo
yanahitaji ushauri wa wazazi lakini kuna mambo yanahitaji uamuzi binafsi au wa ushauri wa mwenza.
Huyu ni Mwanaume wa kuepuka sana katika mahusiano kwasababu ni dhahiri hawezi kuwa Baba/Mwanaume bora.sifa kuu ya Mwanaume ni uwezo wa kujisimamia vizuri.
Muda wote mama yake atakuwa na sauti kuliko yeye na hata mkewe. Maamuzi mengi huamuliwa na mama yake,kitu kidogo anakwambia ngoja nimuulize mama, jina la mtoto...hadi aamuulize mama kufanya biashara au mradi wowote hadi amuulize mama yake, akihitaji mtoto hadi amuulize bi mdashi,akipata shida kidogo kwa mama.
Kiufupi Mwanaume kama huyu hata kuoa na mwanamke yupi wa kuoa ni msukumo wa Mama yake.Yaani mama yake akisema simtaki mwanamke fulani,naye huyo anachana naye anamfuata anayemtaka mama
yake.
Mara nyingi hana siri,yaani yeye mambo ya faragha atamsimulia mama yake yote.Ukifuatilia kwa makini utagundua wengi wamekuwa hivyo kutokana na malezi waliyopata wakiwa wadogo.Na wengi bila shaka wanakuwa wamelelewa na mzazi mmoja yaani Mama.
Je, ulishawahi kukutana na Mwanaume au jamaa la namna hii
Karibu
Nafikiri labda hujamuelewa vizuri mtoa mada,in nature mtoto wa kiume ni WA mama,Hilo hatukatai lkn anachozungumza hapa ni kwamba kijana ameshakuwa mkubwa,Hadi hatua ya kuoa lkn hawezi kufanya maamuzi peke yake. Mfano, anataka anunue kiwanja anaanza kumshirikisha mama yake kwanza,au kuna suala anajadiliana na mkewe,lkn kabla hajafikia muafaka,anaenda kuomba ushauri kwa mama yake,yani kiufupi ni mtu ambaye hawezi kufanya maamuzi peke yake Hadi amshirikishe mama yakesawa,ila wa mama wanaspend /more /a lot of time raising kids,no wonder wanakua na strong influence on their kids, mimi sioni tatizo kama mtu anamuuliza mama yake kila kitu unless huyo mwenza wake ana interpret this as a sign of weakness, au mama in question ni mkorofi asiyempenda mkwewe.
Una makasiriko[emoji23]Wapeni maua yao, wametafuta one to trust. Ambaye ni mama yake
Bora Mali na miradi uiache kwa mama sio pasua vichwa wa sku hizi unaeza andika mitoto kumbe yote sio yako
mimi sikatai kuna wanaotegemea mama zao kwa maamuzi, point yangu mimi ni kuwa hii haina tatizo unless kuna tatizo la uelewa kwa huyo binti au mama ni mkorofi. Kuna mahali niliona depression,anxiety,bullying vitu vyote hivi vinashape thinking ya mtu, sasa kama mtu anapitia vyote hivi na anaona safety net ni mama yake ni kiasi cha kumchukulia kama alivyo.Nafikiri labda hujamuelewa vizuri mtoa mada,in nature mtoto wa kiume ni WA mama,Hilo hatukatai lkn anachozungumza hapa ni kwamba kijana ameshakuwa mkubwa,Hadi hatua ya kuoa lkn hawezi kufanya maamuzi peke yake. Mfano, anataka anunue kiwanja anaanza kumshirikisha mama yake kwanza,au kuna suala anajadiliana na mkewe,lkn kabla hajafikia muafaka,anaenda kuomba ushauri kwa mama yake,yani kiufupi ni mtu ambaye hawezi kufanya maamuzi peke yake Hadi amshirikishe mama yake
Umeshakazwa tayar?Hao ndio wanaoongoza Kwa kuwakaza wake zenu
😂😂😂 no hard feelings, just cold hard fact.Una makasiriko[emoji23]
Kwaiyo haupendi mtu na mama yake wakiwa wanaelewanaHuyu si mwingine Bali ni mom's boy.