Mwanamke Epuka mwanaume wa namna hii

Mwanamke Epuka mwanaume wa namna hii

Kumuamini Mama ni kitu kizuri kaka,lakini kuna ile hali Maamuzi ya kiutu uzima hayaonekani. Kuna mtu anamtegemea mama yake kiasi kwamba siku asipokuwepo mambo yanaharibika kabisa.
Maamuzi gani ambayo hayapaswi kushirikishwa mama ndugu Cybercurex ??najaribu kufatilia maamuzi ya kiutu uzima nipate kuyajua
 
[emoji848]tatizo hakunaga formula ,ukikutana na mbaazi pori huwa no pori tu hata ikilimwa mjini
 
Huyu si mwingine Bali ni mom's boy.

Hii ni term inayotumika kumwelezea mwanaume ambaye anamtegemea Mama yake katika umri ambao anatakiwa ajisimamie mwenyewe.

Ni mwanaume ambaye hawezi kufanya chochote bila kumshirikisha Mama yake.Ni kweli kuna mambo
yanahitaji ushauri wa wazazi lakini kuna mambo yanahitaji uamuzi binafsi au wa ushauri wa mwenza.

Huyu ni Mwanaume wa kuepuka sana katika mahusiano kwasababu ni dhahiri hawezi kuwa Baba/Mwanaume bora.sifa kuu ya Mwanaume ni uwezo wa kujisimamia vizuri.

Muda wote mama yake atakuwa na sauti kuliko yeye na hata mkewe. Maamuzi mengi huamuliwa na mama yake,kitu kidogo anakwambia ngoja nimuulize mama, jina la mtoto...hadi aamuulize mama kufanya biashara au mradi wowote hadi amuulize mama yake, akihitaji mtoto hadi amuulize bi mdashi,akipata shida kidogo kwa mama.

Kiufupi Mwanaume kama huyu hata kuoa na mwanamke yupi wa kuoa ni msukumo wa Mama yake.Yaani mama yake akisema simtaki mwanamke fulani,naye huyo anachana naye anamfuata anayemtaka mama
yake.

Mara nyingi hana siri,yaani yeye mambo ya faragha atamsimulia mama yake yote.Ukifuatilia kwa makini utagundua wengi wamekuwa hivyo kutokana na malezi waliyopata wakiwa wadogo.Na wengi bila shaka wanakuwa wamelelewa na mzazi mmoja yaani Mama.

Je, ulishawahi kukutana na Mwanaume au jamaa la namna hii

Karibu
Upo sahihi mkuu
 
sawa,ila wa mama wanaspend /more /a lot of time raising kids,no wonder wanakua na strong influence on their kids, mimi sioni tatizo kama mtu anamuuliza mama yake kila kitu unless huyo mwenza wake ana interpret this as a sign of weakness, au mama in question ni mkorofi asiyempenda mkwewe.
Nafikiri labda hujamuelewa vizuri mtoa mada,in nature mtoto wa kiume ni WA mama,Hilo hatukatai lkn anachozungumza hapa ni kwamba kijana ameshakuwa mkubwa,Hadi hatua ya kuoa lkn hawezi kufanya maamuzi peke yake. Mfano, anataka anunue kiwanja anaanza kumshirikisha mama yake kwanza,au kuna suala anajadiliana na mkewe,lkn kabla hajafikia muafaka,anaenda kuomba ushauri kwa mama yake,yani kiufupi ni mtu ambaye hawezi kufanya maamuzi peke yake Hadi amshirikishe mama yake
 
mimi sikatai kuna wanaotegemea mama zao kwa maamuzi, point yangu mimi ni kuwa hii haina tatizo unless kuna tatizo la uelewa kwa huyo binti au mama ni mkorofi. Kuna mahali niliona depression,anxiety,bullying vitu vyote hivi vinashape thinking ya mtu, sasa kama mtu anapitia vyote hivi na anaona safety net ni mama yake ni kiasi cha kumchukulia kama alivyo.
 
Akina "mama thus, mama that"

Hayo mafurushi waachieni mama zao.
 
Positive mind create positive output..ikiwa hakuna Nia mbovu hakuna Cha kuhofia...
Dunia ya utandawazi ni ngumu kuaminiana kuliko mtoto anavyo muamini mzazi wake,
Cha msingi Jenga ukaribu mwema na kumjali mzazi wake ,hivyo mzazi wake atakupaisha direct na indirect kwa.mwanae....
Ukimshauri chema hawezi kuwa na hofu,na utabarikiwa
 
Huyu si mwingine Bali ni mom's boy.

Hii ni term inayotumika kumwelezea mwanaume ambaye anamtegemea Mama yake katika umri ambao anatakiwa ajisimamie mwenyewe.

Ni mwanaume ambaye hawezi kufanya chochote bila kumshirikisha Mama yake.Ni kweli kuna mambo
yanahitaji ushauri wa wazazi lakini kuna mambo yanahitaji uamuzi binafsi au wa ushauri wa mwenza.

Huyu ni Mwanaume wa kuepuka sana katika mahusiano kwasababu ni dhahiri hawezi kuwa Baba/Mwanaume bora.sifa kuu ya Mwanaume ni uwezo wa kujisimamia vizuri.

Muda wote mama yake atakuwa na sauti kuliko yeye na hata mkewe. Maamuzi mengi huamuliwa na mama yake,kitu kidogo anakwambia ngoja nimuulize mama, jina la mtoto...hadi aamuulize mama kufanya biashara au mradi wowote hadi amuulize mama yake, akihitaji mtoto hadi amuulize bi mdashi,akipata shida kidogo kwa mama.

Kiufupi Mwanaume kama huyu hata kuoa na mwanamke yupi wa kuoa ni msukumo wa Mama yake.Yaani mama yake akisema simtaki mwanamke fulani,naye huyo anachana naye anamfuata anayemtaka mama
yake.

Mara nyingi hana siri,yaani yeye mambo ya faragha atamsimulia mama yake yote.Ukifuatilia kwa makini utagundua wengi wamekuwa hivyo kutokana na malezi waliyopata wakiwa wadogo.Na wengi bila shaka wanakuwa wamelelewa na mzazi mmoja yaani Mama.

Je, ulishawahi kukutana na Mwanaume au jamaa la namna hii

Karibu
Kwaiyo haupendi mtu na mama yake wakiwa wanaelewana
 
Back
Top Bottom