Mwanamke epuka mwanaume anaekupaka mate

Kama mate ni chanzo cha wadudu basi wazungu wangeumwa fangasi kwenye nyeti zao sana...maana mapenzi yao bila kuramba nyeti zao bado mahaba hayajakamilika
Ohoooo sasa kama hutaki basi ila mi nakwambia tena yakutane mafuta ya condom na mate pamoja hahahahahahahah
 
Mwanaume tupunguze ushamba wakati mwwingine. Mwanaume shujaa kamwe hawezi kutumia mate kama kilainishi. Mwandae mwenzi alainike mwenyewe.
 
kweli kabisa,mwanamke rijali akishikwa maziwa, mapaja na kiuno lazma mbunye ianze kuloa, hapo ipo tayari kupokea mzigo, mambo ya kupaka mate labda huko BURIGI ndio washamba
Kweli chief.
Ukiona hadi mate yanatumika ni mkavu halowi na mwanaume hajataka kununua vilainishi.
 
Kwa uzoefu - ke- akifikia mshindo huwa panakauko uko ndani...baada ya hapo ni michubuano....ndio maana wanatumia kilainishi kupunguza huo msuguano na maumivu
 
Back
Top Bottom