Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,063
Kuna harusi ya dada yake keshokutwa, sasa ameanza kunipanga muda mrefu kwelikweli kwamba niwepo. Sasa dah! Mimi kama baharia huwa nakwepa sana hizi public appearance maana mimi najulikana flani hivi sana
Binti mwenyewe yaani hayupo kwenye mipango yangu kabisaa sasa kwenye harusi kabisa naonekana yule yulee. Dah! Sijui nitumie mbinu gani niepuke kikombe hiki
Hebu wajuzi wa kumkwepa mtu nisaidieni hapa, sana sana wale ambao huwa wakiongozana na wenza wao huwa wanatangulia mbele watakua wanajua mbinu mbalimbali
Uzi tayar
(Jaman unajua kuna siku mwili unagoma kabisa kazini yaaan nataman nipate likizo ya mwaka mzima) nimechoka sana dah