hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,396
- 80,357
HahaaDaah! Una roho mbaya Sana wewe! Yaan huna huruma hata chembe kwa mwanamke mwenzio? Kweli mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.
HahaaDaah! Una roho mbaya Sana wewe! Yaan huna huruma hata chembe kwa mwanamke mwenzio? Kweli mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.
Kumbe hivi ndivyo ulivyo nifanyia siku zile halafu ukadai kwamba simu iliisha chargeKwa sasa onesha kukubali kwa moyo mmoja kwamba utaenda lakini siku ya harusi zima simu halafu nenda sehemu unayojua hawezi kukupata
Baada ya harusi washa simu yako,tafuta sababu yoyote hata ya kipuuzi umpe.... lazima akusamehe japo atakasirika kidogo lakini tukio utakuwa umelikwepa
Daah! Una roho mbaya Sana wewe!
Kumbe hivi ndivyo ulivyo nifanyia siku zile halafu ukadai kwamba simu iliisha charge
Weee mwanamke weeee !!! Unadhambi ujue[emoji23][emoji23][emoji23] ile siku simu ilizimika kweli aseee
Hv unajua huku ni kama haipo tenaHapo kama baharia wa meli ya sumu kweli, vunga Corona.
Muombe 0718Kuna harusi ya dada yake keshokutwa, sasa ameanza kunipanga muda mrefu kwelikweli kwamba niwepo. Sasa dah! Mimi kama baharia huwa nakwepa sana hizi public appearance maana mimi najulikana flani hivi sana
Binti mwenyewe yaani hayupo kwenye mipango yangu kabisaa sasa kwenye harusi kabisa naonekana yule yulee. Dah! Sijui nitumie mbinu gani niepuke kikombe hiki
Hebu wajuzi wa kumkwepa mtu nisaidieni hapa, sana sana wale ambao huwa wakiongozana na wenza wao huwa wanatangulia mbele watakua wanajua mbinu mbalimbali
Uzi tayar
(Jaman unajua kuna siku mwili unagoma kabisa kazini yaaan nataman nipate likizo ya mwaka mzima) nimechoka sana dah