Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,723
- 15,367
Kenyewe kanachepuka ovyo mfyuu zakeNi vichekesho sana anaongea as if yeye kaoa malaika!
Mijitu hii bana!
Siku akijua mkewe sio saint the way anavyodhani na kujitapa kutoa maelekezo ya watu kuoa watu!
It is so hilarious!
Unarusha mawe kwenye nyumba za watu zenye glass wakati kwako una glass pia!
Sijui watu wanatoa wapi mandate hizi!Ashajisahau kua ukuu wa mkoa sio mamlaka ya kueleza wengine waoeje!
Poor man!