Mwanamke bora ni yule wa miaka 18 - 23

Mwanamke bora ni yule wa miaka 18 - 23

Huo umri wa kuwa shule/chuo kwa wengi wao. Hivi umewahi kuzungumza na binti wa 18yrs? Kama umewahi uwezo wao kifikra upoje? Unategemea atakushauri?. Miaka 22+ angalau unaweza kupata mke safi
 
Hehehe we jaribu kuoa hio age af utaona kilichomtoa kanga manyoya
 
Kweli wanapretent wawekwe ndani tu then makucha yakiwatoka ndo unasomeshwa namba
Ndio maana mahusiano kwa mwanamke mtu mzima ni mara chache sana yakadumu. Angalia hata wanawake maarufu wanaosifika kwa mvuto lakini kila uchao wanaachwa.
 
Mkuu kwa dunia ya sasa mwanamke wa 18 - 23 ndo hao full tamaa kutoka na wababu wapate simu na vigari, mie wala sikubaliani na wewe
 
Mtoto wa miaka 18 unamuoa ili awe mke mtegemea mme kwa kila kitu?Mm hutu tutoto wala hatunishtui
Mm zangu mkubwa mwenzangu tunaongea lugha inayo fanana
 
Mim nimekuelewacoz waswahili walisema sramaki mkunje angali mbichi so kutafuta mwa namkea ambaye ameshakuwa miaka27 na kuendelea ujue ameshakuwa kama nyani mzee limeahapitia mambo mengi lazima badae likusumbue lakin uangalie na hao wa miaka
 
Mkuu kwa dunia ya sasa mwanamke wa 18 - 23 ndo hao full tamaa kutoka na wababu wapate simu na vigari, mie wala sikubaliani na wewe
Ndo katika umri huo atajua tabia halisi za binti hivyo kujua yupi anafaa na yupi hafai.
 
Back
Top Bottom