Mwanamke Booobaaaa.....πŸ‘©πŸ½β€βš–οΈπŸ‘©πŸ½β€πŸ«πŸ‘©πŸ½β€πŸ³ πŸ’ͺ🏽

Yaan hata sielewi kwa nini vimbaumbau tunapenda matukunyema. Ugonjwa wangu...

Acha kabisa.......
 
Bado saaana sisy


Hahahahahhahahahaaaa

Kuna mtu leo tulikuwa eneo moja la tukio asubuhi, mie nilimuona ile yeye hakuniona.

Baadae nampigia simu namwambia nilikuona..... Aahahahahhaaa kani mind.....

Baadae ntampigia nijitetee Kuwa uzee Ndo ulisababisha sikumsalimia yaani nilimuona halafu nikasahau Kuwa natakiwa nimsabahi hehehehehe halafu wewe unasema bado sana looh.

50 mwakani yaani..... Kama mchezo paap mvi za maeneo..... Hehehehhehehee
K' Matata.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚βœŒβœŒβœŒβœŒ
 
Yaan hata sielewi kwa nini vimbaumbau tunapenda matukunyema. Ugonjwa wangu...

Acha kabisa.......


Hahahahhahahahahaa na hamuwezi kunenepa maana wanawakausha damu hehehehehehee.
 
Hahahahahahahahaa ngoja tuu niimbe sasa, mareale alikuwepo, mama manka alikuwepo, rafaeli alikuwepo na makaveli nae alikuwepo heehehehehehehee

Tuko pamoja....

Kasie Motooo Matata.
Na kasie matata alikuwepo.. Wape mbege kabisa waje nazo huku hazipatikani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa!! Papuchi kuzingirwa na theluji ya mlima kilimanjaro ndio ukubwa huu..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…