Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,719
Jamani kuna wengine chubby tunawapenda zaidi
Hata Oprah Winfrey alipofanya diet na kupungua washabiki walipungua sana
Waweza amini?
Wanene oyeee
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Wow[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]bora mtupe moyo kupungua inahitaji ujitoe akili na hisia..!mm nikikonda had jiran anasema hujui tu..unachukiza..khaa ngoja tule tu kwakwel..uzuri no nyama uzembe
Wow
Sikujua hilo
Yaani personality ya mnene na mwembamba ni tofauti kabisa
Hata akitembea utajua huyo kajaa kote mpaka mfukoni hahahaha
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Daah umenikumbusha Sensema Malunde Tbr Jazz. Those old good days na Mzee Shem Karenga
Mbona yuko powa tu,tatizo nini....
ha ha ha ha nadhani muda huu utakuwa umetumia yale maji ya rangi ya goldSio kweli
Sensema malunde sensema sensema
Kasinde boobaa..ππ½