Anaitwa Renee Toney mwanamke body builder(mjenga misuli)na mnyanyua vitu vizito.Renee au Rene wanavyomfupisha asili yake ni Brazil lakini ni raia wa Marekani. Renee mwaka 2006 alitwaa taji la mwanamke mwenye mwili wa misuli kuliko wote.Ilimchukua miaka 20 hivi kutengeneza mwili huo
Unamcheki panya katuna pale kati Inaonekana ukinyanya vitu vizito na manyonyo yanapotea.Renee aliolewa na bilionea wa Kifaransa na ana watotot wawili wa kike.
Mmm huyu nae nadhani aliolewa kabla hajaanza mazoezi yake,baada ya hapa itakuwa anasaga wenzake!sidhani kama ataolewa tena au kuwa na mume!ameshapoteza kila kitu!