Siku izi mbona kuna kutongozana tu?? Guess am getting too old
Kama umevutiwa na mtu unaanzisha ukaribu nae, dinner za uongo na kweli, vizawadi vya hapa na pale, kama kuna chemistry kati yenu mambo yatajipa tu
Ila kumbananisha mtu chemba kumpa mamistari mi kwangu naona kama utumwa tu, there are better ways of letting a girl know you are in for her!!
Colietha upendo wangu kwako ni zaidi ya mateka ya ROMA kwa tongwe record.
Umetembea na jina la uziAcha tu mpendwa nikikuona nasahau password yangu... Nachoshukuru tu niliiandika kwenye diary.
Kiwembe na kicheche hawa sawa maana akili zao ni moja na baba yao ni mmoja.kwa wale wenye wito wa ndoa Ukweli asilimia mia unahitajikaHabari za jioni wote naona na weekend ndio kama vile inafumbua macho. Poleni na shughuli za week nzima katika kupiga na kukimbizana na pesa
Niende moja kwa moja katika mada tajwa hapo juu.
Hapa washikaji mtanielewa sana kwa hawa wanawake kama mnauzoefu. Na kwa ambao hamjui basi itakuwa poa sana kupata maujanja.
Mwanamke bila kumdanganya hapo ujue huna kitu yani hivi vichwa vyao nahisi kama vina NEGATION factor /COMPLEMENT factor.
Time unaenda kutema madini hakikisha unabundle zuri la uongo hakikisha unatema madini vizuri ila ukijifanya unafunguka ukweli hapo yeye ndio anakuona boya kama unamdanganya tu kwake kichwa chake huwa kina pindua ukweli nakuona uongo ila ukitema sumu za uongo ujue yeye kwake anapindua uongo na kuwa ukweli na unajikuta unakula tunda kiulaini kabisa.
ILA wewe nenda na ukweli utaona cha moto huko.
Pia ukienda na uongo pamoja na ukweli hapo ujue unatengeneza complicated relation tu maninja.
Wakuu unaweza kuongeza ma skills uliyokutana nayo katika mihangaiko ya hapa na pale.
HINT:ukidanganya hakikisha unadanganya kweli kweli no retreat no surrender ukijichanganya hapo tu ukaona huruma uanze kumwambia ukweli ujue ndege si wako tena.
Colietha upendo wangu kwako ni zaidi ya mateka ya ROMA kwa tongwe record.
HahahaDaby leo kafunguka!!! Colietha,ebu wahi kuna mtu ICU anakusubiri bibie
Hahaha
Kuna mtoto mmoja kanishika mkuu... akinikuta huku atakinukisha hatarii...sema yupo coolUsicheke,sijawahi kusikia umedata,lakini leo umejilipua,kwa vile we huwaga mstaarabu,
huyu binti asituangushe,akuheshimu na yeye. Yawezekana tayari umekuwa sasa
Kuna mtoto mmoja kanishika mkuu... akinikuta huku atakinukisha hatarii...sema yupo cool
[emoji85][emoji85][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Daby,naomba uende kagera uniletee ng'ombe wawili na fahari wa tatu.
Ndo heshima irudi,yaani wewe unataka mwanangu Colieta umchezee akili?
Tobaaaaaa,piga magoti uombewe leo umeingiwa na pepo la uz********.
Mkuu sio kudanganya ovyo ovyo uongo ule unaambatana na uhalisia kidogoKwa hiyo mleta mada, ukienda na daladala mwambie umeacha Benz home!
Bahati mbaya utajikuta una cheti cha uongo yeye ana PHD.
Pamoja mkuu Maana katika kuapply uongo hakuitaji kukurupuka mkuusometimes its works sometimes nah