Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
Na ukienda umejikoki na ukweli utaambulia patupu.Sema ukimpata kwa Kumdanganya katika kipindi chote cha Mahusiano utaishi 65% maisha Feki....
Colietha upendo wangu kwako ni zaidi ya mateka ya ROMA kwa tongwe record.we danganya wenzako aliekwambia huwa hatujui tukidanganywa nani? Ni vile tu tunajitoa ufahamu ila tunajua vizuri kuchuja pumba na mchele [emoji188][emoji188]
Hahahaha, imebidi nicheke mkuu.Colietha upendo wangu kwako ni zaidi ya mateka ya ROMA kwa tongwe record.
Tulia tusubirie jibu la mtoto.Hahahaha, imebidi nicheke mkuu.
Hahaaaaa wacha weee!Colietha upendo wangu kwako ni zaidi ya mateka ya ROMA kwa tongwe record.
Kama umeanza kuelewa ivi...kaka endelea kushusha vifungu takatifu ataelewa tu...Hahaaaaa wacha weee!
Acha tu mpendwa nikikuona nasahau password yangu... Nachoshukuru tu niliiandika kwenye diary.Hahaaaaa wacha weee!
Kwa jinsi tu username yako ilivyo nzuri nahisi wewe ni zaidi ya mrembo.Wanaume banah
Huwa tunajitoa ufahamu tuu lakini sio kwamba huwa hatujui uongo na ukweli, palipo na ukweli uongo hujitenga, sema ukikutana na mwanaume muongo huwa ni raha sana maana unamchora at end unamtolea nje ndio wale hugeuka kuwa maadui kwasababu ya ujinga wao wa kuhalalisha uongo uwe ukweli, mtoa mada acha kupotosha wenzio utawakosesha mazuri.