Mwanamke bikra na asiye bikra

Bikra si kitu.
Unaoa leo mwenye bikra baada ya ndoa jamaa wanakuja wanajipigia watakavyo.
Mwengine anao asiye na bikra na hatoki nje mpaka kaburini.
Mwamke kutoka nje ni tabia tu km tabia nyingine..Kinachoongelewa hapa Heshima ya mwanamke ya ndoa ktk Ubora ipo wapi!

Kuoa mwanamke asiye Bikra alafu akatulia ukaona ametulia ukajifariji nina mke katulia ni sawa...Upande wa pili ukae ukijua alishakuwa SUGU hivyo hakuna asichokijua nje ndani hivyo asilimia kubwa suala la mapenzi kwao ni ZIADA.

Ushawahi kula embe likabaki kokwa?kisha lile kokwa likanyonywa mpk rangi ya embe ikaisha ikabaki nyuzi flani hivi nyeupe
Ndio hivyo!!
 
nimeshakutana na mabkra kadhaa isipokuwa linapokuja suala la kuoa ukizingatia kigezo hiki cha ubikra unaweza kupoteza muda wako wengine hawafai hata kuoa,wapo wanawake waliolewa hawakuwa na hii kitu na wako smart sana /dhana ya kuwa mwanamme wa kwanza hasauliki kwa mwanamke bikra haifanyi kazi kwa wote akikutana na anajua kucheza na hisia zake vizuri wewe wa kwanza anakutupa kwenye dustbin.
 
wanawake bikra ni mateso tu kwanza ni waoga sana pili hawajui maufundi ya 6by6 fujo tupu ila ukichukua lililo kubuhu uwez pata tabu ni kujilia papuchi kwa raha zote ila NOTE, wanawake bikra wako na heshima flan ambayo upewa na waaume zao tofauti na asie🙂🙂
 
Umeona eeeh umezungukaaaa kisha ukaniunga mkono safi mkuu...Hakuna kitu kinchoniumiza kama wawili wakwaruzanapo mwanaume hutoa kauli hii:

NINGEKUTA BIKIRA HAPO SAWA..WEWE SI NI WALEWALE TU?
Hii kauli inaumiza jamani..ndio maana nasisitiza kwamba ni wakati wakulitazama kwa makini swala hili
Habari ya kulea mbabinti kizungu hana hiyo biashara...

Ooh Baba szlijui huyu ni Boyfriend wangu unachekelea tu..
Bikira INAWEZEKANA.
 
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji12] [emoji12]

Mwanamke bikra ni mzuri ndani yake atakusumbua kwa muda lakini baada ya kufanikiwa kuitoa bikra yake utamfundisha taratibu staili mbalimbali za kufanya mapenzi na hakika ata enjoy na utamfurahia mwenyewe baadae akishajua utamu wake atakuwa anajishughulisha mwenyewe mpaka utampenda.
 
Nilichopendea huu uzi ni kuwa wanaume mmejua kudanganyana na kulishana matango pori


Nawatakia bikira njema aisee
[emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87]

Tupe basi ujuzi
Sisi wengine bado under 18.

[emoji4] [emoji4] [emoji38] [emoji38] [emoji122] [emoji122]
 
Hahahaha mjomba umekazaa
 
Ukioa Bikira kwanza utafahamu TONE(SAUTI HALISI YA MKEO )Mkiwa faraghani..

Sasa unaoa tu siku ya Honeymn mkiingia tu faraghan...umeguswa tu kaunywele kidogo mama weee yaani hiyo kelele utafkiri treni ya Kigoma inaingia Moro...

Kumbe ni timing tu ya wizi!!
 
Hakuna uthibitisho kwa mwanaume bali kwa mwanamke..Na Mungu aliona mbali ndio maana akamchagua mwanamke awe na alama yaani Bikra..Mwanamke ni kila kitu!
sio kweli wapo wanawake waliozaliwa hawana hymen .tafuta elimu juu ya hiki kitu utaelewa.
 
Si wanawake wote waliozaliwa na hymen, wanaume wengi na jamii zetu hawaelewi hicho kitu. wapo wanawake hawajaziliwa na hymen hivyo wanaonekana si Bikira,. swala la Bikira hata mwanaune unatakiwa uwe Bikira sio swala la mwanamke tu.
 
Mkuu hapo naona umeniacha kidogo..

Kwamba umezungumzia hymen, ikiwa ni wazi kuwa unamaanisha hymen ndio bikira...!

Halafu hapo chini unasema tena hata mwanaume anatakiwa awe ni bikira pia.. Je, ni kweli kuwa unamaanisha awe na hymen kama mwanamke?
bikra ni ile hali ya mwanamke kutomjua mume au mwanaume kutomjua mke. kwa bahati mbaya watu wengi wanaelewa kwamba bikra anatakiwa awenayo mwanamke tu kwa kua ana hymen kitu ambacho si sahihi. wapo wanaozaliwa hawana hymen na wanaonekana sio bikra kumbe ni bikra.
 
kwasababu si wanawake wote wanaozaliwa na hymen, na pia inaweza kutoka kwasababu mbalimbali swala la kukagua mwanamke kuwa ana bikra au la katika jamii mbali mbali duniani limeonekana ni unyanyasaji na nilakijinga
 
Nchi nzima tunaomboleza kifo cha faru John,wew huna huruma kabisa.
 
Zipo mbona! Binafsi nimeshakutana nazo tatu, tena hii ya tatu ni mtoto wa kihaya" nilianza kuitoa kidogo kidogo mpaka Siku ya tatu ndo njia ikawa free!
Siku tatu nzima? basi una puncture ya dushe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…