Mwanamke bikra na asiye bikra

Maelezo mazuri sanaa
Nimekuelewa mkuu
 
Kweli mkuu.
 
Hizo bikra tutunze hadi baada ya ndoa kwenye honey moon ndo tuwape??
Maana mnasemaga hamtaki uziwa mbuzi kwenye gunia.... Mnajiaminisha AF mkipewa hizo bikra mnasepa hamuoi....
Embu fungukeni tuwaelewe...
Ndioo!!
 
Najaribu kuhusianisha huu uzi na jinsi mastaa wa bongo wanavyobadilishana mademu...sijui kuna nini huko. Kwakweli wanawake wana siri nzito sana, hakuna cha mwenye bikra au mwenye sugu...wote mwalimu wao ni mmoja.
 
Kisha unaskia jamaa kaoa!Aibu kuu Marufuku mwanangu kuniletea SUGU eti ndio wife...thubutu!!
 
Mkuu umeoa underage nini ama umenuia kuoa under age....kukuta bikra humu mijini ni ngumu hasa kwa mabinti wa 18....and above
 
Mkuu umeoa underage nini ama umenuia kuoa under age....kukuta bikra humu mijini ni ngumu hasa kwa mabinti wa 18....and above
 
Yes man..ule utam anaopata mwanamke kwa Mara ya kwanza huwa hauishi akilini mwake, hata awe na wanaume wangapi! Akikutana na yule aliemtoa bikra huhisi utam uleule na hujiona kama bado ni mtoto!
Wewe ni ke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…