Mwanamke ataivunja ndoa yake mwenyewe

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,787
Reaction score
37,993
Jiulize

Kwani biblia haikuona mwanaume???

Wanajua vyanzo vya matatizo kwenye ndoa n wanawake

Na ndio maana wanaume tukaongezewa tuishi nao kwa akili

Sio miguu wala mikono

 Nawakilisha
 
Mmmh
 
Attachments

  • Screenshot_20260720_230202_Lite.jpg
    177.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20260720_224636_Lite.jpg
    130.5 KB · Views: 8
  • Screenshot_20260720_220740_Lite.jpg
    147.8 KB · Views: 7
Ty
 
Attachments

  • 1784579972434.jpg
    19.9 KB · Views: 7
  • Screenshot_20260720_221152_Lite.jpg
    154.8 KB · Views: 7
  • Screenshot_20260720_221142_Lite.jpg
    160.8 KB · Views: 7
Jiulize

Kwani biblia haikuona mwanaume???

Wanajua vyanzo vya matatizo kwenye ndoa n wanawake

Na ndio maana wanaume tukaongezewa tuishi nao kwa akili

Sio miguu wala mikono

 Nawakilisha
Ila wanawake awamu hii mpk watakoma 😂 na hawana la kujibu
 
Ila wanawake awamu hii mpk watakoma 😂 na hawana la kujibu
Shida wanajitahidi kututanguliza mapema kwa muumba mpwa yaan n shidaa

Nimetoka leo ununio misiba zaidi ya 5 wanaume wameacha wajane
 
Shida wanajitahidi kututanguliza mapema kwa muumba mpwa yaan n shidaa

Nimetoka leo ununio misiba zaidi ya 5 wanaume wameacha wajane
Ila huwa nawaza kuna namn wanafanya ili waponde mali... Tfaut na hapo pia sababu za kibaiolojia tunaumiza sana akili na mwili kupambania familia alafu mwisho wa siku mke anakuja kukumaliza na anakuona empty set
 
Jiulize

Kwani biblia haikuona mwanaume???

Wanajua vyanzo vya matatizo kwenye ndoa n wanawake

Na ndio maana wanaume tukaongezewa tuishi nao kwa akili

Sio miguu wala mikono

 Nawakilisha
"Chanzo cha mabaya ni pesa(dhuluma) na wasichana(wanawake) ,chunga sana alishasema Salu T" - Fid Q
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…