Huo ni mtizamo wako, Mwanamke akikupenda hata kabla hujatoumba ukiingiza tu kichwa anafika kileleni,
Na Kama hajakupenda yaani haupo moyoni mwake hata ukipiga deki na kusimamia kucha kiasi gani ni kazi bure.
Mapenzi ni Sanaa kwa maana hayana formula. Siyo wote wanaopendwa wanasimamia kucha. Kwenye tendo mwanamke hitaji lake ni kufika kileleni tu na siyo kizamani mpaka umchubue ngozi muambukizane magonjwa ya zinaa.
Ili afike kileleni ndiyo Sanaa inahitajika kumtangulia kimawazo uwe akilini kwake muda mwingi.