Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mungu atusaidie wanawake tusio na pesa
Atusaidie pia wale ambao kuomba ni kipengele, tupate wataoelewa tuna mahitaji sio mpk tuombe
Usipokua na pesa unatakiwa kufanya kazi, sio kumsikilizia mwanaume. Usawa wa kijinsia mliutaka wa nini sasa
 
Una maoni gani kuhusu mwanamke mwenye tabia kama za Zanzibar? Yaani yeye chake ni chake, halafu chako ni chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…