Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,287
- 72,512
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji238] [emoji238] [emoji238] [emoji238] BEBERU LA VINGUNGUTI
The driver determines the speed of the car... Ha ha ha ha.[emoji1] [emoji28] Eti eee though it depends with the speed of da car
Za kwangu poa sana tu DabyNi powa aseeh Elly... za kwako
Unaona eeh.. Ha ha ha ha'amfinye'
Watu wanazidiana utaalamu.... Unaweza ukasema mimi sitapeliwi... Ukakutana na wasenegal ukatapeliwa mchana kweupe.Kumbe Walijua hilo eeeh
Mi niko poa mkuu nimekuona sehemu unachungulia na umepotea jumla tenaMungu anasaidia
Vipi wewe lakini
Duh hatareSasa mkilia wote humo chumbani si itakuwa kama kuna kwaya ya kisabato
Huenda upande wa pili ukawa na karai pia... Maana wengine mmejaliwa bahari nyie... Hata themos ya vikombe 24 huisikii...Utakuwa una kibamia
HahahaMi niko poa mkuu nimekuona sehemu unachungulia na umepotea jumla tena
Kuna concepts ambazo hata ukiniamsha usingizini zipo kichwani.Kwa hali ya kawaida siyo rahisi kukumbuka hizo concepts za fanani ba hadhira vitu sijui vya f2 kama hauko kwenye hiyo filied
Mkuu nilipata dharura kidogoSio kwa usanii ule aisee mahondaw umemuona huyu braza eti leo ndio anaibuka baada ya kutuacha kwenye mataa.
Mzima wewe?
Madogo yana nafuuMakubwa
Sawa mkuu tumshukuru MUNGU kwa uhai tulio naoHahaha
Nilikuwa namhurumia T venye ataniacha alone for nine years...
Kama u mzima,Nashukuru mkuu
Tupo mkuu ni vizuri bado tupo haiZa kwangu poa sana tu Daby
Ndo la muhimu hilo mkuu!!!Sawa mkuu tumshukuru MUNGU kwa uhai tulio nao
Sijambo. Nilikuwa na wasiwasi na mvua hizi nikajua zilikuchukua ukiwa shambaMkuu nilipata dharura kidogo
Mi mzima kabisa sijui wewe
Sawa Mkuu hongera maana umeitumia sehemu sahihi hadi na mm nimerecall mwl wangu alivokuwa anatuelezea hivyo vituKuna concepts ambazo hata ukiniamsha usingizini zipo kichwani.
Defn.
Rust, matter, n.k