Mwanamke ‘aoa’ wanaume wawili

Kwa huku Mamtoni mwanamke ndie anaye owa na Mwanamke ndie anaye muacha Mwanamme upo pamoja na mimi? huko kwenu Tanzania Mwanamme ndie anaye owa huku ni tofauti mkuu umeshawahi kusafiri nje ya Tanzania? haswa kuja Ulaya? Njoo uje ujionee mwenyewe usingoje kuambiwa mkuu maendeleo hayo bado wewe hujaendelea tu?

Sawa,

Kwa hiyo ukiandika kiingereza mwanamke anaweza kuoa, ukitafsiri Kiswahili mwanamke anaolewa. Hili ni swala la utamaduni ambalo halitafsiriki katika lugha, lugha ya Kiswahili na utamaduni wa Kiswahili havitambui concept nzima ya mwanamke kuoa.

Kusema mwanamke kaoa, ni kama kusema "pembetatu ina nyuzi 200" katika Euclidean geometry, the geometry is simply not equipped to make this sensible due to its basic axiom.

The basic axiom in Swahili here being mwanamme anaoa, mwanamke anaolewa.

The basic axiom in Euclidean geometry being pembetatu haiwezi kuwa na nyuzi zaidi ya 180.

Now, in Non-Euclidean geometry unaweza kuwa na pembetatu yenye nyuzi 200.

In non Swahili cultures unaweza kuwa na mwanamke aliyeoa.
 
Sawa Mkuu nimekupata Je upo Teyari kuolewa na Mwanamke ili uweze kupata Makaratasi ya Kuishi Ulaya au Amerika?
 
great sex,financial security...nahisi ndivyo vitu vilivyowapumbaza hao wanaume wamekuwa tegemezi kihisia,mpaka hawajiamini kama wanaweza kuishi bila ya huyo mwanamke....ila mie nimekuwa interested na hio part inayosema mwanamke ni mtaalamu wa mapenzi nitamtafuta anifunde siku ya harusi yangu lol
 
Kila Mtu anafaidi kwa upande wake je wakati wa kulala inakuwaje jiulize? Atalala nao wote wawili?

Ha ha ha ha te te te te !!! mkuu kuwa uyaone. hapo hao mabwana wawili watakuwa ni bisexual yaaani wanalambana wao kwa wao pia. Ikiwa mama amesafiri au anaumwa au amechoka shughuli hazisimami kumsubiria, pia mwanamke ana matundu matatu wanaume wake wawili kitandani wanatumia matundu mawili na bado moja lipo akiba lol! watu design hizi hupata msaada wa kufanya hayo wanayofanya kutoka kwa madawa, wakiisha kuwa high wanachojua ni tundu haijalishi ni la mwanamme au mwanamke la juu au chini!!! lol Kama Mungu aliichoma sodoma na gomorrah kwa ushoga, utashangaa kwa nini hajakihukumu kizazi hiki.
 
Sawa Mkuu nimekupata Je upo Teyari kuolewa na Mwanamke ili uweze kupata Makaratasi ya Kuishi Ulaya au Amerika?

Mimi natafuta makaratasi ya kwenda Andromeda Galaxy kutafuta Earth 2.0, ulaya na Amerika nishachakaza sana, kwanza kushachafuka na pollution.

Na habar nzima ya ndoa ni marufuku kwangu, regardless.
 
Vipi kwenye katiba mpya hilo lifikiriwe ili walau wa mama waone nao wamethaminiwa pamoja na maamuzi yao ya Beijing? Lakini kina Cameroon wanaweza leta hiyo ili tupate misaada. Hongera mama kwa kupata hao wanaume wasio na wivu. Vipi kuhusu kodi ya meza?
 
mmmh, hatari. ila poa kama mkielewana inapendeza lakini kwa mbele za Mungu ni dhambi...
 
Hapo lazima kuna mmoja wapo hadisii anasindikiza tu kwa macho na imebidi wampe uwanaume ili wauze habari.
 
Back
Top Bottom