ikizidi 48hrsMnataka tuwakubalie ndani ya MDA gani
Hapo moyo unahusika zaidi Kuna mwingine anakubaliwa kabla hajasema chochote siyo swala mudaikizidi 48hrs
Akikukubalia haraka utasema Malaya, akikuzungusha ndio hivyo unasema hafai kuoa.
Binafsi nampenda anaenizungusha ili mradi tu asiwe ananitukana,
Anijibu tu kistaarabu.
Halafu kuna wakati atakwambia sitaki kumbe wala hamaanishi hivyo, anajipa tu nafasi akujue vizuri na ndio asili yao wanapenda mwanaume king'ang'anizi ili nae ajione ana thamani kwako wewe unaemfukuzia.
🙏🙏Jamaa umeandika ukweli ulio uchi hio principle ninayo mimi nikimtongoza msichana for the 1st utamuona km ni wako au unalazimisha the way atakavokua anakujibu na atention yake kukusikiliza so ata km atakuambia nitakupa jibu unakua tayar unajua jibu gan utapewa.
Na mara nyingi mimi niki mtreat akakataa hua siludi tena nawashangaa sana et mwanaume unafukuzia dem miez miwili for the what purpose hicho kipaji sina aisee.
Mimi huwa nawapa siku mbili tu zaidi ya hapo nasepa zangu.Me najiwekea wiki mbili kama bado anazungusha napiga chini
umemaliNafikiri jamaa hujamuelewa vizuri....KUNA AINA YA MWANAMKE unamtongoza lakini ile tu ukimsoma usoni (facial expression) unaona kabisa naye anakukubali the way anavyokujibu yaani unakuta anakupa ushirikiano, mkipanga mtoko anakuja na hata asipokuja anakupa sababu ya msingi na anakuwa mnyenyekevu kwako huyo anaweza akawa anakuzungusha kukusoma lkn kiukweli ukimwangalia unaona anakupenda saa nyingine unamtumia msg anajibu kea wakati naye anakutumia msg mara kwa mara, mawasiliano yenu kwa ujumla ni mazuri. Ila kuna mwingine anakuzungusha unatuma msg hajibu, ukikutana naye haonyeshi tabasamu anakujibu kwa mkato yaani anakuona unamboa, anakueleza live kuwa hakutaki na kukuambia tena ana jamaa yake nk. ( kumbuka mara nyingi mwanamke anayekupenda hawezi kukuambia kuwa ana mtu wake coz naye anaogopa kukupoteza) Anaweza kukuambia hayupo tyr kuwa na mpenzi kwa sasa hiyo ikiwa ni zuga tu.
NAUNGANA NA MTOA MADA 100%.....Kufuatilia mwanamke kwa muda mrefu ambaye umemsoma kabisa hakutaki na anakuonesha dalili zote kwamba hakutaki UO NI UFALA....NDO YALE unaoa mwanamke baadae akija kukutana na mtu anayempenda lazima uchapiwe maana kwako ulikuwa ni option ya 145, kwamba wale aliowataka wakamchomolea akaona hana pa kwenda zaidi ya kujishikiza kwa BWEGE! ambaye anamsumbua!
Mwanamke akikutamkia live bila kupepesa macho kwamba HAKUTAKI, tafadhali ONDOKA HARAKA SANA.......anayekupenda Siku zote hawezi kukutamkia hivi ukikutana naye tu ni ana tabasamu na kucheka cheka sana!
umemaliza kila kitu mkuuNafikiri jamaa hujamuelewa vizuri....KUNA AINA YA MWANAMKE unamtongoza lakini ile tu ukimsoma usoni (facial expression) unaona kabisa naye anakukubali the way anavyokujibu yaani unakuta anakupa ushirikiano, mkipanga mtoko anakuja na hata asipokuja anakupa sababu ya msingi na anakuwa mnyenyekevu kwako huyo anaweza akawa anakuzungusha kukusoma lkn kiukweli ukimwangalia unaona anakupenda saa nyingine unamtumia msg anajibu kea wakati naye anakutumia msg mara kwa mara, mawasiliano yenu kwa ujumla ni mazuri. Ila kuna mwingine anakuzungusha unatuma msg hajibu, ukikutana naye haonyeshi tabasamu anakujibu kwa mkato yaani anakuona unamboa, anakueleza live kuwa hakutaki na kukuambia tena ana jamaa yake nk. ( kumbuka mara nyingi mwanamke anayekupenda hawezi kukuambia kuwa ana mtu wake coz naye anaogopa kukupoteza) Anaweza kukuambia hayupo tyr kuwa na mpenzi kwa sasa hiyo ikiwa ni zuga tu.
NAUNGANA NA MTOA MADA 100%.....Kufuatilia mwanamke kwa muda mrefu ambaye umemsoma kabisa hakutaki na anakuonesha dalili zote kwamba hakutaki UO NI UFALA....NDO YALE unaoa mwanamke baadae akija kukutana na mtu anayempenda lazima uchapiwe maana kwako ulikuwa ni option ya 145, kwamba wale aliowataka wakamchomolea akaona hana pa kwenda zaidi ya kujishikiza kwa BWEGE! ambaye anamsumbua!
Mwanamke akikutamkia live bila kupepesa macho kwamba HAKUTAKI, tafadhali ONDOKA HARAKA SANA.......anayekupenda Siku zote hawezi kukutamkia hivi ukikutana naye tu ni ana tabasamu na kucheka cheka sana!