nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Ama kweli we really cant go against nature....and this we call gender inequality will never end! yani Mungu amesaidia umepata kazi safi maisha yanaenda! halafu tena nikuongezee eti 'pocket money' mwe..!
sweetlo laki moja kama siku hiyo simenti imeisha saiti ingetosha mifuko ngapi?
Nionavyo hapa kuna ile hali kwamba mwanaume anapaswa atoe japo kidogo 'kuuenzi utamaduni'' but hey! utamaduni huo ndo ushapitwa na wakati ivo!
hapo sasa? Za kwao za kugawa kwa viserengetihapo si wanasema hata hizo za saluni ni mume ndo anatakiwa kuzitoa?
Ampe na hela ya lunch anapoenda job......................................
Ndo anaona mume anatimiza majukumu yake, lol!
mtani mi sina kope za mchina bana huyu shem wako si atanitoa baru!nina mdreads zangu kiaina na kucha ni fupi ila sio zile za kutafuna,kuhusu kuwa provided kusema kweli napenda ila haimaanishi namkamua jamaa,but napenda mume wangu anipe hela ya kutengeneza nywele zangu,kama nataka hata big g napenda aninunulie but yu know wat i do huwa nafanya pia vitu vya msingi home,things like kulipa ada za watoto sijui kama niko poa nalipa tu!by the way hii ni tofauti na lile swlaa la baadhi ya wanaume to take their wifes for granted kwenye swala zima la majukumu ya home na uwezo wanao kisa tu mke anafanya kazi!Tena hiyo nayo-provide imeenda extra miles......kuliko material things.
Tena mara mojamoja nazuka na jogoo na kilo tano za mchele......mambo ya less wigi wapi na wapi.....au mtani na wewe unapiga kope za mchina na kucha za mamba?
Smile kama unapenda nywele huna haja ya kunyoa kipara kisa gharama za saluni. mimi mara chache sana huwa naenda saluni, napenda kuhudumia nywele zangu mwenyewe nyumbani, na zinakuwa nzuri mno.
siku nikitaka kusuka kuna wasusi wengi tu ni cheap na wanasuka vizuri.
hela zangu zina mambo mengi sana ya muhimu ya kufanyia, siyo kushindana na mtu umeenda saluni ya laki tatu. na sijawahi kushangaliwa kwamba nyewe hazijapendeza, lol!
ushirikiano ni muhimu bwanaumeona eeh
yani kweli nimuombe au nisubili baba nanii anipe ela ya salon?
Mi napenda sana zawadi lakini sipendi kutunzwa kwa kuwa nina uwezo wa kujitunza. Na zawadi goes both ways...ananinunulia na mie namnunulia. Na sijawahi kufikiria kuwa haya majukumu sijuhi ya nani na haya sijuhi ya nani.
Nakubali kuna wanawake wanatunza kwa asilimia kubwa lakini niwajuao mimi ni ma house wives and they deserve it.
yaani house wife ana-deserve tena more than 100% maana huyo muda wote yupo home kuangalia familia, hiyo ndo kazi yake, na hana mshahara. na baba atakaye mtelekeza huyo mama sidhani kama atasamehewa.Umeona eeh
Yani kweli nimuombe au nisubili baba nanii anipe ela ya salon?
Mi napenda sana zawadi lakini sipendi kutunzwa kwa kuwa nina uwezo wa kujitunza. Na zawadi goes both ways...ananinunulia na mie namnunulia. Na sijawahi kufikiria kuwa haya majukumu sijuhi ya nani na haya sijuhi ya nani.
Nakubali kuna wanawake wanatunza kwa asilimia kubwa lakini niwajuao mimi ni ma house wives and they deserve it.
zabwina kamwali, uyumwiki?kamwali za lihengu!?
Umeona eeh
Yani kweli nimuombe au nisubili baba nanii anipe ela ya salon?
Mi napenda sana zawadi lakini sipendi kutunzwa kwa kuwa nina uwezo wa kujitunza. Na zawadi goes both ways...ananinunulia na mie namnunulia. Na sijawahi kufikiria kuwa haya majukumu sijuhi ya nani na haya sijuhi ya nani.
Nakubali kuna wanawake wanatunza kwa asilimia kubwa lakini niwajuao mimi ni ma house wives and they deserve it.
zabwina kamwali, uyumwiki?
Smile kama unapenda nywele huna haja ya kunyoa kipara kisa gharama za saluni. mimi mara chache sana huwa naenda saluni, napenda kuhudumia nywele zangu mwenyewe nyumbani, na zinakuwa nzuri mno.
siku nikitaka kusuka kuna wasusi wengi tu ni cheap na wanasuka vizuri.
hela zangu zina mambo mengi sana ya muhimu ya kufanyia, siyo kushindana na mtu umeenda saluni ya laki tatu. na sijawahi kushangaliwa kwamba nyewe hazijapendeza, lol!
kuna thread moja hapa inasema mume hana hela anakopa kwa jamaa rafiki wa mke wakati mke ana hela za kumwaga, hapohapo jamaa anakopa kwa mke anapewa. kwa sasa najiuliza, labda mume alikuwa anataka kufanyia kitu ambacho mkewe hakijui, otherwise kwa nini asingecheck na mke kujua kama ana hela ili wafanyie hicho kitu. au alimwomba mke akasema kuwa hana? kama aliamua kumyima mumewe hela wakati anajua kwa-haki ya Mungu kuwa mumewe hana hela alikuwa na maana gani? halafu anampa mtu ambaye si mumewe....................... ndoa nyingine!ushirikiano ni muhimu bwana
wanawake hawa wa working class vichwa ngumu kweli
unakataa kutoa hela ya kula nyumbani ,unaenda saluni za gharama,minguo ya gharama,kuhonga viserengeti na kugawa kwa ndugu zako...kuna faida gani hapo? Si heri ule na wanao?
kuna siku nilikuwa sehemu ugenini, nikaenda saluni, nililipa balaa (nilimwomba mwenyeji anipeleke saluni nzuri, nilikuwa naenda harusini). nilipotoka hapo, straight kufumua zile nywele...................... sikutaka hata kuomba ushauri kwa mtu.Hapo sasa na unaweza kushangaa huyu katoka salon ya buku 20 mwenzake katoka ya laki 3 lakini ukiwatazama huyu wa laki 3 unaweza kumkimbia akikustua.............Sura imevundikwa kwa makorokoro kibao.
kuna kitu huwa najiuliza kongosho
mwanamke wkend anaenda saluni
kuosha nywele ...3,000
kusuka less wigi....50,000
ka less wig ka kichina....150,000
mafuta yake ya kichina....25,000
kuosha miguu....12,000
kutinda nyusi.....2,500
kubandika kope...12,000
kula na soda hapo saluni.....10,000
tena hii ni saluni ya uswazi kabisa
kwanini wanaume wasihame nyumbani?
Madam, unalosema ni kweli kabisa kwani MUNGU alisema mwanume utakula kwa jasho na mwanamke utazaa kwa uchungu. alimaanisha ni kazi ya mwanaume kuiwezesha familia kwa kila kitu.Ni kwa utafiti wangu nimekuja kugundua kuwa, iwapo unafanya kazi au ni mtafutaji wa maisha, hapa ninamaanisha ya kuwa wewe si tegemezi au goalkeeper mara nyingi unakuta kuna haki zinapotea au hutendewi na mumeo.
Maisha ya sasa ni sawa kusaidiana, lakini ndoa za leo ukiwa unafanya kazi unakuta jambo la mume kukuhudumia wewe halipo kivile. Kuna zile huduma ambazo ni za joint account kama mambo ya nyumba na watoto. Lakini mume anawajibu hata kama sio kila mara ni lazima kumnunulia mke nguo, salon expense au time to time to provide with her needs can be anything, hapa simaanishi physical needs. Hii inatoka directly katika mfuko wa mume.
Lakini siku hizi ukiwa una kaincome kidogo sahau mume kukupa hata pocket money, mume bora anaweza kupimwa na hizi three Ps; Profess, Provide and Protect kama alivyosema Steve Harvey. Na hii issue inagusa kwenye providing.
Wataalamu hebu tiririkeni
kwani waitoa kila siku? kumbuka nyumba unayo kila siku ila mmke haunaye kila siku. ipo siku utakuja tafuta mke wa kumpa hela ukakosa. hivi hata ka suprise ka once in a blue moon????
namshukuru sana Mungu aisee mie japo ninaza kwangu za kunitosha but hubby hakosi kunipa za upendo japo nijiskie na mie lol! tena za vitu kama nguo na saluni haoni ubahili hapo aisee.
lakini pia hi ni tabia ya baadhi ya wanume na mu wanyimi kwa wake zenu ila kwa wale wa nje mnatoa hadi mnabaki kapa. lol!