Mwanamke anaridhishwa na nini?

Kwani kumridhisha mwanamke ni kumfanyaje...[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Ebu tuanzie hapo labda tutaelewana polepole
Ndiyo maana kabla ya ndoa huwa kuna mafundisho jinsi ya kuishi namke si kuchanganya mahindi na maharagwe = kande
 
Hoja yako imetoa jawabu maridhawa kabisa dhidi ya hoja ya mleta uzi
 
Ndiyo maana kabla ya ndoa huwa kuna mafundisho jinsi ya kuishi namke si kuchanganya mahindi na maharagwe = kande
Hakuna mafundisho yanayo itwa JINSI YA KUISHI NA MWANAMKE.
Bali kuna MAFUNDISHO YA NDOA.

Ukipitia mafundisho ya ndoa ndipo utajifunza hitaji la msingi la MKE na hitaji la msingi la MUME kwenye ndoa
 
Exactly mkuu
 
Hapa naona watu wanachanganya hitaji la MWILI na hitaji la MKE....
Ebu msichanganye mafuta na maji please..... [emoji12] [emoji12]
 
And if truly upo hivi....i love u with 0.00% VAT[emoji8]
 
Mwanamke anaridhishwa na uongo unaofanana na ukweli machoni mwake + pesa ya kukidhi hadhi yake au Ku fit level yake na kusogelea ya juu yake kidogo + mahaba na dushe la ukweli kitandani kama unakibamia chua na mafuta ya tembo, mboo itanenepa na kuongezeka urefu hivyo kumkuna vizuri zaidi na kukojoa mpaka basi wakati wa sex hivyo kuridhika na wewe na kukusikilza zaida ww mume kulko hata wazaz wake!
 
Muhogo wa Maana + Love, Care & Concern!!
 
Hakuna mafundisho yanayo itwa JINSI YA KUISHI NA MWANAMKE.
Bali kuna MAFUNDISHO YA NDOA.

Ukipitia mafundisho ya ndoa ndipo utajifunza hitaji la msingi la MKE na hitaji la msingi la MUME kwenye ndoa
Ha ha sawa kabisa nimeipenda hii. Kama ingekuwa mafundisho ya jinsi ya kuishi na mwanamke shule zisingetosha,m mwanamke yupi ,wachaga,nyakyusa,warangi,ndendeule n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…